Mbona haya mambo yako wazi kaka,
CDM kina affiliate programs and partners....
Wao ni Pro Western na haya mambo wao ndio msimamo wao kama westerners wanavyosema.
Mkuu kuna siku tupo meeting jamaa akasimama akatoa dukuduku lake kisha akasema...."Sasa kuna kenge zingine"Haloo kuliwaka moto sio poa. Akaulizwa kwa hiyo hapa wote ni kengeze wote ila kuna kenge zingine ........Jamaa yule alikuwa mtani wangu nilichela sana kuna mdau mmoja zilikuwa haziivi lile neno akasema HR kama hamtachukulia hatua hatutawaelewa inakuwaje tutwe kenge aseee..
Umenikumbusha nime cheka sana. Aliambiwa aorodheshe majina ya hizo kenge na ambao sio kenge