Hoja nzito kidogo: Vipodozi vikali vinapunguza joto la mwili

Hoja nzito kidogo: Vipodozi vikali vinapunguza joto la mwili

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Eheeee.
Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k

Hivi Vipodozi vinapunguza joto la mwili na la sehem maalumu.
Lengo ni kupunguza kukidhi haja ya muhusika ili kuendelea kutafuta maridhiko kwa mtu mwingine.
Matokeo yake dhambi ya uzinzi inazidi kuongezeka, matokeo yake zinaa inazidi kuongezeka.
Mrejesho mtautoa wajuz wa mambo mliozunguka zunguka
 
Mhubiri 1:14
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.

Mhubiri 2:1
Nikauambia moyo wangu, Haya, nitakujaribu kwa njia ya furaha basi ujifurahishe kwa anasa. Na tazama, hayo nayo yakawa ubati
li.

Asubuhi njema
 
Asanteeee
 
Back
Top Bottom