johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wamuulize wa nini na njaa imemrudisha, akae atulie ashibishe tumboHivi CCM inayakumbuka maneno aliyoyasema Sumaye wakati anatoka ccm na kwenda chadema? Sumaye alisema hata rudi ccm kwani ccm sio mama yake akamnukuu na Hayati baba wa Taifa kuwa ccm sio mama yake,nilitarajia jana wakati wa kumpokea Sumaye ,CCM inge mwuuliza juu ya hiyo kauli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.
Sumaye anasema Chadema wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.
Unapojikita kushughulika na polisi maana yake unawaachia CCM wafanye siasa ndio maana nimerudi kwenye chama changu ili nifanye siasa amemaliza mzee Sumaye.
Maendeleo hayana vyama!

HUYU NDIYE ZERO AT HIS/ITS BEST. PUMZIKA ZERO HUNA MADHARA YOYOTE, HATA CCM WANAKUJUA KUWA WALIKUITA OIL CHAFUOvyo kabisa hawa wamasai