Hoja: Sio kila anayelia na kuumia anastahili huruma, ni mavuno yake hayo

True say. Nimeona sana wapo watu wanateseka na maisha yao yamejaa majonzi unaweza fikiri Mungu amewasahau ila kumbe wamefanya mambo mabaya sanà ktk jamii wameibia watu, wamedhulumu watu leo wanavuna walicho panda. Miaka kadhaa bwana mmoja akiwa ananafasi mahali fulani alitumia nafasi yake kudhalilisha watu na kuwa dharau hakujuwa ipo siku yaweza kuwa yeye pia akadhalilika. Siku moja akajikuta dampo na wale aliwadharau wakiwa na mandinga yao mtaani yeye akisaidia waoshea. Mimi napenda kusema hata kama unajiona wewe ni Rais ndio cheo chako jaribu kuwathamini watu na hali zao. Wapo viongozi mnao waona leo ambao wanajeuri na dhihaka kwa wa Tz watakuwa hawana kitu yani hata wakikwapua hazina yote ipo siku miaka kumi ijayo hawatokuwa na kitu why? Utajijibu mwenyewe.
 
Ndio maana siamini kabisa kuhusu kila jambo ni mipango ya Mungu
Yesu mwenyewe alikua ahamini km atapigiliwa misumali msalabani ndio maana alimlilia Mungu-Mwenye Enzi 'Baba ikiwezekana kikombe hiki kini....' acha kabisa unaambiwa shetani alipogombana na Mungu huko mbinguni aliondoka na ⅓ ya kundi la malaika na hio ⅓ yote ilitupwa pamoja nae duniani

Jitafakari
 
Hiyo ya starehe za mchepuko nilichomekea tu mkuu, binafsi nimeielewa vizuri hoja yako [emoji1666]
 
Mnahangaika sana na maisha!
Wakati nahangaika na maisha kama ninyi, prayer item yangu ilikuwa ndefu sana.
Ningeweza kuomba hata kwa masaa mawili.
Lakini tangu niache kuhangaika na maisha, siku hizi nikiomba sana dk tano nyingi. Naomba kumshukuru Mungu kuniamsha salama na kumuomba anijalie siku njema. Pia nafunga siku moja kwa wiki kwa ajili ya kutubu dhambi zangu... Baasi.
 
Kweli kabisa,lazma uvune tu.
 
Ni wapi uliona Shetani anamlazimisha mtu,kufanya mambo mabaya? Nipe ushahidi kama upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…