Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Rais mstaafu aliwahi kukaa chini na kutembea peku.
Mahekalu yatajengwa na madarasa yatajengeka.
Hayati Rais Magufuli alifanya haya kwa pamoja.
Kwani hapo ufipa mliwahi kufanya nn ili wananchi wafaidike[emoji1][emoji1][emoji1]Aliyafanya haya yote au alipiga propaganda kuwa ameyafanya yote? Au unadhani hatukuwa tunaona watoto wanaokaa chini huko madarasani? Kulikuwa na haja gani ya kuwajengea wastaafu mahekalu, wakati hawana uhitaji huo kama sio kusaka sifa za kijinga, huku wanafunzi wanakaa chini?
Ndio hizo hizoTena sasa hivi kuna Toyota Land Cruiser v6, lc 300.
Huku wanalipana posho tupuWenzetu wanaona fahari kulipa kodi sababu maendeleo wanayaona
Kabisa mkuuAliyafanya haya yote au alipiga propaganda kuwa ameyafanya yote? Au unadhani hatukuwa tunaona watoto wanaokaa chini huko madarasani? Kulikuwa na haja gani ya kuwajengea wastaafu mahekalu, wakati hawana uhitaji huo kama sio kusaka sifa za kijinga, huku wanafunzi wanakaa chini?
Kwani hapo ufipa mliwahi kufanya nn ili wananchi wafaidike[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1] baada ya kuwaamsha wengine mkalala nyinyiTumewaamsha waliokuwa wamelala usingizini kiasi kwamba wanaweza kuhoji.
Chanjo ya ugonjwa gani wakati huo ugonjwa haupo na kilichopo ni vita vya kiuchumi tu?Mimi ni muumini wa Chanjo itakayotengenezwa Tanzania.
Dunderhead
Thubutu, sisi si ndio wale yule kiongozi dhalimu aliagiza tupige risasi, kutubambikia kesi, kututeka na kupiga marufuku kukutana na wananchi?[emoji1][emoji1] baada ya kuwaamsha wengine mkalala nyinyi
Hapo ndipo tunapopigiwa fimbo, vigogo wananeemekea hapo,TAX HOLIDAYS ,sijui kuvutia wawekezaji na blah blah nyingine.