Hoja tatanishi: Hivi ni kweli Mo Dewji aliweka billion 20 Simba au hajaweka?

DJ waleteeeee
 
Wivu tu kisa watu wamekwea mwewe!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuona wa maana kama ungehoji kwanini timu lenu pre-season inafanyia matombo morogoro, hao unao wahoji pre-season zao wanafanyia Morocco, Egypt etc na tunavyo ongea wapo zao Dubai kwa mapumziko .. anyway, Nyuma mwiko ..
 
Ndio maana uongozi uliopo nadarakani hautaki mtu mwingine agombee uwenyekiti wa Simba zaidi ya Mangungu.
Ukileta mtu mpya atafumua madudu ya Mikataba mkabaki vinywa wazi.
Kwasasa endeleeni kuamini mambo Yako sawa mpaka muda utapofika ukiwa na majibu kamili.
 
Wewe ndio uweke ushahidi wa akaunti za Simba kuwa hizo hela hazijawekwa.
Halafu si mlisema anauza hisa zake, imekuwaje tena?
 
Ningekuona wa maana kama ungehoji kwanini timu lenu pre-season inafanyia matombo morogoro, hao unao wahoji pre-season zao wanafanyia Morocco, Egypt etc na tunavyo ongea wapo zao Dubai kwa mapumziko .. anyway, Nyuma mwiko ..
Hoja iliyopo mezani ni Mo atueleze ilipo bil 20 au kama hakuweka aweke wazi. Hayo mengine uliyosema wewe Unaweza fungulia Uzi wake
 
Mwamedi hadi Sasa anadaiwa bil 5 tu kati ya 20

Kumbuka usajir kambi kuendesha timu zote anatoa mfukon mwake

Pesa ya Simba inayopata toka kwa wadhamini na pesa za mashindano Kama klabu bingwa hutumika kulipa mishahara na wafanyakaz wa
Simba

Japo wanasimba wengi hawajaeleweshwa juu ya hili ila viongoz wengi wanalijuanl hili

###MO ANADAIWA BIL 5 TU ####

Lakini na sisi mashabiki ile 51% iko wapi tunakalia kudai 49% ya mwekezaji na SS tuoneshe zetu
 
UTOPOLO PRO MAX KIUJUMLA ACHA UNAFIKI FUATILIA YA UTOPOLO NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI USOME VZR ...DAIMA MBELE....
 
Hoja iliyopo mezani ni Mo atueleze ilipo bil 20 au kama hakuweka aweke wazi. Hayo mengine uliyosema wewe Unaweza fungulia Uzi wake
Tutolee kelele hapa. Timu inaingia quarter final CAF competition back to back halafu unakuja kubweka ati bil 20? Hao wachezaji walioifikisha hapo ikiwemo kuchuku Kombe la league mara 4 mfululizo umewasajili wewe? Au mishahara ya wachezaji na makocha unalipa wewe. Kambi nje ya nchi unalipia wewe. Ulitegemea ziwekwe kwny account zikae tu kwa ajili yako? Low thinking.
 
Sehemu ya bil. 20 inatumika tena, safari hii kupeleka timu Dubai!
 
Haya maswali yako yatakuletea shida kubwa sana kutoka kwa Chawa wa Mwamedi! Watakuporomoshea matusi ya kila aina. Wewe subiri uone.
 
Aweke hizo bilioni 20 simba ina thamani ya shingapi??jamani muwe unafikiria basi sio kuburuzwa kama vitoto,timu yenyewe haina basi la wachezaji,au lile jengo lina thamani ya hiyo pesa,sasa hapo naona unataka kumuuzia timu moo,moo arena haujashituka tu??sasa itakuwa moo sport club
 
Hoja iliyopo mezani ni Mo atueleze ilipo bil 20 au kama hakuweka aweke wazi. Hayo mengine uliyosema wewe Unaweza fungulia Uzi wake
Hayo niliyo yasema hayawezekani bila ya pesa na bila shaka ndizo unazohoji hapa, wewe ndo utuambie kwanini pre-season mnafanyia matombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…