Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DJ waleteeeeeTry Again ni chawa wa Mwamedi hawezi toa majibu yanayoenda kinyume na bosi wake..
Humu jf Kuna wanasimba wengi sana wenye weledi na maarifa yakutosha na wengine wapo huko kwenye taasisi za kifedha.
Je hakuna yeyote mwenye jibu la uhakika kuhusu hizi fedha bil 20??
Aliweka kitambo, na ndio zimesaidia kumsajili Mudathir Yahya bureJe mo aliweka bil 20?
Wivu tu kisa watu wamekwea mwewe!Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Ziliwekwa kwenye account gani kaka?Bilioni zishatumika mnahoji leo??
Wewe ndio uweke ushahidi wa akaunti za Simba kuwa hizo hela hazijawekwa.Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Hoja iliyopo mezani ni Mo atueleze ilipo bil 20 au kama hakuweka aweke wazi. Hayo mengine uliyosema wewe Unaweza fungulia Uzi wakeNingekuona wa maana kama ungehoji kwanini timu lenu pre-season inafanyia matombo morogoro, hao unao wahoji pre-season zao wanafanyia Morocco, Egypt etc na tunavyo ongea wapo zao Dubai kwa mapumziko .. anyway, Nyuma mwiko ..
Tutolee kelele hapa. Timu inaingia quarter final CAF competition back to back halafu unakuja kubweka ati bil 20? Hao wachezaji walioifikisha hapo ikiwemo kuchuku Kombe la league mara 4 mfululizo umewasajili wewe? Au mishahara ya wachezaji na makocha unalipa wewe. Kambi nje ya nchi unalipia wewe. Ulitegemea ziwekwe kwny account zikae tu kwa ajili yako? Low thinking.Hoja iliyopo mezani ni Mo atueleze ilipo bil 20 au kama hakuweka aweke wazi. Hayo mengine uliyosema wewe Unaweza fungulia Uzi wake
Haya maswali yako yatakuletea shida kubwa sana kutoka kwa Chawa wa Mwamedi! Watakuporomoshea matusi ya kila aina. Wewe subiri uone.Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Hajaweka na hataweka ije mvua lije jua!Hivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Mkuu nimejiandaa kupambana na hao chawaHaya maswali yako yatakuletea shida kubwa sana kutoka kwa Chawa wa Mwamedi! Watakuporomoshea matusi ya kila aina. Wewe subiri uone.
Aweke hizo bilioni 20 simba ina thamani ya shingapi??jamani muwe unafikiria basi sio kuburuzwa kama vitoto,timu yenyewe haina basi la wachezaji,au lile jengo lina thamani ya hiyo pesa,sasa hapo naona unataka kumuuzia timu moo,moo arena haujashituka tu??sasa itakuwa moo sport clubHivi huyu mwekezaji wetu ndugu Mohamed Dewji ni kweli aliweka Ile bil 20 tuliyoambiwa?
Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji hili suala bila mafanikio huku uongozi wa wanachama ukiongozwa na ndugu Mangungu nao ukiwa kimya.
Hivi timu yenye bill 20 benki ni ya kushindwa kusajili wachezaji wa maana hata watatu Kwa bil 1?
Inasubilia free agent kama Saido mchezaji mzee ndio imsajili??
Mwenye ushahidi risiti/slip au aliyefanikiwa kumpiga picha mwamedi akiwa benki yoyote ile aki deposit huo mpunga atuwekee hapa..
[emoji881][emoji881] Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Hayo niliyo yasema hayawezekani bila ya pesa na bila shaka ndizo unazohoji hapa, wewe ndo utuambie kwanini pre-season mnafanyia matombo.Hoja iliyopo mezani ni Mo atueleze ilipo bil 20 au kama hakuweka aweke wazi. Hayo mengine uliyosema wewe Unaweza fungulia Uzi wake