Hoja - Tuiondoe rangi nyeusi kwenye Bendera haina maana

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya wahindi waishio India.
 
Mimi napendekeza viongozi wote wastaafu kila mtu aishi anavojua tubaki na jeshi tu, au tuuze nchi kila mtu apate chake aende anakojua kurndelea na maisha
 
Bangi mbaya sana
kwani na ile njano nayo ina maana madini yetu ya njano?
Rudi tena darasa la nne
nani aliekwambia bangi mbaya una tatizo la kuingia kanisani bila ya kuweka nia.

hata hio njano inawezekana nayo ikaondolewa ,ila madini ipo yanatoa nuru ambapo ndani yake inapatikana hio njano,Ila inapofafanuliwa maana ya kuwepo rangi nyeusi eti ndio rangi ya Watanzania,huwa nababaika na kujiangalia mara mbilimbili.
 
Tuitoe na rangi ya blue maana Tanzania tuna bahari, maziwa na mito ya kumwaga lakini amini usiamini ni mwaka wa 59 huu tangu tupate uhuru lakini kuna miji na vijiji kibao tu vyenye shida adhimu ya maji.
 
Ile raingi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya wahindi waishio India.
Mbona wapambaji wa sherehe za kitaifa rangi ya buluu huipa nafasi ndogo sana kwa kuwa hawoni umuhimu wake! Rangi muhimu kwao ni kijani na njano ambapo huwekwa sehemu viongozi husimama ili zionekane.
 
Kwa wasio ijua bendera yetu ina rangi buluu nyeusi kijani manjano.
Pale Bungeni wanaikanyaga,ndio maana yake meichora kwenye sakafu kisha mnaikanyaga. Mnaidharau vibaya sana.
 
Tubadilishane nchi na South Africa, sisi tuende kule wao waje huku
 
Mimi napendekeza viongozi wote wastaafu kila mtu aishi anavojua tubaki na jeshi tu, au tuuze nchi kila mtu apate chake aende anakojua kurndelea na maisha
Mimi naona watu weusi tuna uwezo wa kufanya vitu vingi isipokuwa UONGOZI.

Reference: Timu ya Taifa ya Ufaransa. Licha ya kuwa na watu weusi 99% lakini ilichukua kombe la dunia.

Kwahiyo kumbe sisi waafrika tatizo kubwa siyo uwezo ni UONGOZI.

Hivyo, Ninashauri kama ambavyo huwa tunakodi wazungu kuja kufundisha timu zetu za mpira,

Tuanze kukodi VIONGOZI kutoka nje waje ( Tutapiga maendeleo kinyama )

Tena kama yanavyofanya makampuni kuajiri MDs, na sisi tunaweka targets kabisa hakafu tunaajiri.

Rais = CEO/MD

Waziri Mkuu = Secretary of State.

Kazi ni contract wise.
 
Mbona wapambaji wa sherehe za kitaifa rangi ya buluu huipa nafasi ndogo sana kwa kuwa hawoni umuhimu wake! Rangi muhimu kwao ni kijani na njano ambapo huwekwa sehemu viongozi husimama ili zionekane.
Kwa sababu kijani na njano zimechukuliwa na CCM.
 
Bado sijakupata point yako hasa ni ipi

Mara unasema inatchewesha ni kiza, mara nyeusi ile sio sawa na weusi wetu

Al-muhimu ile ni nembo tu inawakalisha hivyo hailazimu iwe kama kitu kilivyo.

Na inaweza ikabadilishwa ikawekwa hiyo nyeusi unayoona inafaa lakini bado ukadai haitoshi ni kidogo, mbona population yetu ni kubwa, hivyo iongezwe.

Ile ni nembo tu,usiing'atie sana meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona watu weusi tuna uwezo wa kufanya vitu vingi isipokuwa UONGOZI.

Reference: Timu ya Taifa ya Ufaransa. Licha ya kuwa na watu weusi 99% lakini ilichukua kombe la dunia.

Kwahiyo kumbe sisi waafrika tatizo kubwa siyo uwezo ni UONGOZI.

Hivyo, Ninashauri kama ambavyo huwa tunakodi wazungu kuja kufundisha timu zetu za mpira,

Tuanze kukodi VIONGOZI kutoka nje waje ( Tutapiga maendeleo kinyama )

Tena kama yanavyofanya makampuni kuajiri MDs, na sisi tunaweka targets kabisa hakafu tunaajiri.

Rais = CEO/MD

Waziri Mkuu = Secretary of State.

Kazi ni contract wise.
Me naamini tunaweza kufanya kila kitu, isipokuwa elimu/maarifa yetu juu ya masuala mazima ya uongozi bado haikidhi mahitaji.

Kwa hiyo unataka kusema kama atachukuliwa mzungu yeyote akaletwa Africa basi anaweza kutuongoza?

Au tutahitaji mzungu aliyebobea katka masuala ya uongozi?

Hata kwenye huo mpira unaosema, sidhani kama aliokotwa mfaransa yeyote barabarani na akapewa ukocha basi timu ikafanya vzuri, hapana bali alipeka kazi kocha mahiri ndio maana timu ikafanya vizuri.

Sasa mpaka hapo unaweza ukawa umeona ni kitu gani tunacho kikosa.

Kwahiyo suala sio uafrika au uzungu suala ni kuwa na elimu juu ya jambo husika.

UONGOZI, Ubinafsi na maarifa ni tofauti na NIA, COMMITMENT na Imani.

Watu kama kina Magufuli wanaamini madaraka yatafute kwa njia yoyote, yalinde kwa njia yoyote jilimbikizie na ukimaliza na wewe mpe umtakae ( shida za watu wala hazikuhusu ) , ukiona mtu ananyemelea madaraka yako ua kikatili, hayo ndiyo maisha.

Yaani ni sawa wewe uwe una imani sana ya kiroho unamwamini Mungu wako na una vision ya kumpenda lakini mwenzio yeye yuko mbele kwenye ibada, anaimba anafanya kila kitu lakini kumbe anachukulia nyumba ya ibada kama sehemu ya company tu na kusosholaizi, haaamini chochote.

Hivyo ndivyo walivyo watawala wa Africa.
 
UONGOZI, Ubinafsi na maarifa ni tofauti na NIA, COMMITMENT na Imani.

Watu kama kina Magufuli wanaamini madaraka yatafute kwa njia yoyote, yalinde kwa njia yoyote jilimbikizie na ukimaliza na wewe mpe umtakae ( shida za watu wala hazikuhusu ) , ukiona mtu ananyemelea madaraka yako ua kikatili, hayo ndiyo maisha.

Yaani ni sawa wewe uwe una imani sana ya kiroho unamwamini Mungu wako na una vision ya kumpenda lakini mwenzio yeye yuko mbele kwenye ibada, anaimba anafanya kila kitu lakini kumbe anachukulia nyumba ya ibada kama sehemu ya company tu na haaamini chochote.

Hivyo ndivyo walivyo watawala wa Africa.
Nimekupata

Lakini hili linaweza kubaki kuwa tatizo la mtu mmoja mmoja na sio wote, huwenda Magufuli akawahivyo lakini wewe Mkaruka ukawa kiongozi mzuri, ilhali nyote ni waafrika.

Au mambo haya wanayo wazungu tu na sisi hatuna?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya wahindi waishio India.
Kweli Mzungu na Mwarabu walifanikiwa kutufanya tuchukie hata rangi yetu. Utasikia jamani ana mtoto mzuri mweupeee. Halafu toto lake baya jeusi.
 
Nimekupata

Lakini hili linaweza kubaki kuwa tatizo la mtu mmoja mmoja na sio wote, huwenda Magufuli akawahivyo lakini wewe Mkaruka ukawa kiongozi mzuri, ilhali nyote ni waafrika.

Au mambo haya wanayo wazungu tu na sisi hatuna?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana wewe. Lakini hakuna mfumo wa kupata watawala wa aina tofauti.

Waswahili wanasema maji hufuata mkondo. Kuna kundi la watu wanaokula keki ya taifa, hao ndio huamua kuweka mtu wao kila wakati asiyeweza kubadilisha ukubwa wa keki yao.

Reference.

1. Kikwete alivyojaribu kuleta katiba ya Warioba. Alitaka kuleta mabadiliko wakati wa amani ( Katiba nyingi huandikwa baada ya mapigano ).

2. Tido Mhando alivyojaribu kuleta mabadiliko TBC.

Inshort, Hilo kundi linapenda mambo yawe hivi hivi.

Labda kitakachokuja kubadili mambo ni machafuko tu na kupelekea kugawana madaraka, chukua Zanzibar kama mfano baada ya machafuko ya 2010.
 
Back
Top Bottom