Hoja - Tuiondoe rangi nyeusi kwenye Bendera haina maana

Hoja - Tuiondoe rangi nyeusi kwenye Bendera haina maana

Hii ya leo umevutia wapi!? Tuanze na swali hili ili mazungumzo yapate mwelekeo sahihi.
 
Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya wahindi waishio India.
Jipake mkorogo tu inatosha.
 
Atakuja mwingine atasema tusiwe na bendera kabisa.
 
nani aliekwambia bangi mbaya una tatizo la kuingia kanisani bila ya kuweka nia.

hata hio njano inawezekana nayo ikaondolewa ,ila madini ipo yanatoa nuru ambapo ndani yake inapatikana hio njano,Ila inapofafanuliwa maana ya kuwepo rangi nyeusi eti ndio rangi ya Watanzania,huwa nababaika na kujiangalia mara mbilimbili.
Ushajichungulia rangi ya kalio lako?
 
Back
Top Bottom