nani aliekwambia bangi mbaya una tatizo la kuingia kanisani bila ya kuweka nia.Bangi mbaya sana
kwani na ile njano nayo ina maana madini yetu ya njano?
Rudi tena darasa la nne
Mbona wapambaji wa sherehe za kitaifa rangi ya buluu huipa nafasi ndogo sana kwa kuwa hawoni umuhimu wake! Rangi muhimu kwao ni kijani na njano ambapo huwekwa sehemu viongozi husimama ili zionekane.Ile raingi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya wahindi waishio India.
Mimi naona watu weusi tuna uwezo wa kufanya vitu vingi isipokuwa UONGOZI.Mimi napendekeza viongozi wote wastaafu kila mtu aishi anavojua tubaki na jeshi tu, au tuuze nchi kila mtu apate chake aende anakojua kurndelea na maisha
Kwa sababu kijani na njano zimechukuliwa na CCM.Mbona wapambaji wa sherehe za kitaifa rangi ya buluu huipa nafasi ndogo sana kwa kuwa hawoni umuhimu wake! Rangi muhimu kwao ni kijani na njano ambapo huwekwa sehemu viongozi husimama ili zionekane.
Me naamini tunaweza kufanya kila kitu, isipokuwa elimu/maarifa yetu juu ya masuala mazima ya uongozi bado haikidhi mahitaji.Mimi naona watu weusi tuna uwezo wa kufanya vitu vingi isipokuwa UONGOZI.
Reference: Timu ya Taifa ya Ufaransa. Licha ya kuwa na watu weusi 99% lakini ilichukua kombe la dunia.
Kwahiyo kumbe sisi waafrika tatizo kubwa siyo uwezo ni UONGOZI.
Hivyo, Ninashauri kama ambavyo huwa tunakodi wazungu kuja kufundisha timu zetu za mpira,
Tuanze kukodi VIONGOZI kutoka nje waje ( Tutapiga maendeleo kinyama )
Tena kama yanavyofanya makampuni kuajiri MDs, na sisi tunaweka targets kabisa hakafu tunaajiri.
Rais = CEO/MD
Waziri Mkuu = Secretary of State.
Kazi ni contract wise.
UONGOZI, Ubinafsi na maarifa ni tofauti na NIA, COMMITMENT na Imani.Me naamini tunaweza kufanya kila kitu, isipokuwa elimu/maarifa yetu juu ya masuala mazima ya uongozi bado haikidhi mahitaji.
Kwa hiyo unataka kusema kama atachukuliwa mzungu yeyote akaletwa Africa basi anaweza kutuongoza?
Au tutahitaji mzungu aliyebobea katka masuala ya uongozi?
Hata kwenye huo mpira unaosema, sidhani kama aliokotwa mfaransa yeyote barabarani na akapewa ukocha basi timu ikafanya vzuri, hapana bali alipeka kazi kocha mahiri ndio maana timu ikafanya vizuri.
Sasa mpaka hapo unaweza ukawa umeona ni kitu gani tunacho kikosa.
Kwahiyo suala sio uafrika au uzungu suala ni kuwa na elimu juu ya jambo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
NimekupataUONGOZI, Ubinafsi na maarifa ni tofauti na NIA, COMMITMENT na Imani.
Watu kama kina Magufuli wanaamini madaraka yatafute kwa njia yoyote, yalinde kwa njia yoyote jilimbikizie na ukimaliza na wewe mpe umtakae ( shida za watu wala hazikuhusu ) , ukiona mtu ananyemelea madaraka yako ua kikatili, hayo ndiyo maisha.
Yaani ni sawa wewe uwe una imani sana ya kiroho unamwamini Mungu wako na una vision ya kumpenda lakini mwenzio yeye yuko mbele kwenye ibada, anaimba anafanya kila kitu lakini kumbe anachukulia nyumba ya ibada kama sehemu ya company tu na haaamini chochote.
Hivyo ndivyo walivyo watawala wa Africa.
Wale wa Ufaransa ni weusi wa rangi tu na sio tabia. Tabia zao ni nyeupeReference: Timu ya Taifa ya Ufaransa. Licha ya kuwa na watu weusi 99% lakini ilichukua kombe la dunia.
Exactly.Wale wa Ufaransa ni weusi wa rangi tu na sio tabia. Tabia zao ni nyeupe
Kweli Mzungu na Mwarabu walifanikiwa kutufanya tuchukie hata rangi yetu. Utasikia jamani ana mtoto mzuri mweupeee. Halafu toto lake baya jeusi.Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya wahindi waishio India.
Nakubaliana wewe. Lakini hakuna mfumo wa kupata watawala wa aina tofauti.Nimekupata
Lakini hili linaweza kubaki kuwa tatizo la mtu mmoja mmoja na sio wote, huwenda Magufuli akawahivyo lakini wewe Mkaruka ukawa kiongozi mzuri, ilhali nyote ni waafrika.
Au mambo haya wanayo wazungu tu na sisi hatuna?
Sent using Jamii Forums mobile app