Kweni Uchaguzi Mkuu umekaribia hadi kuanza kuvuana Uraia?!Kwani uraia wa Biteko ukoje? Wa kuzaliwa au wa "kununua"?
Siyo mimi mkuu! Nataka nijue pa kusimamia, kumkosoa au kumtetea. Mimi sina shida na uraia wake kwa sababu siyo Mbunge wa Jimbo langu.Kweni Uchaguzi Mkuu umekaribia hadi kuanza kuvuana Uraia?!
Dotto ni Mtanzania na ni mchapakazi mimi ningependa aje huku CHADEMA huko CCM ataambukizwa Ufisadi.Siyo mimi mkuu! Nataka nijue pa kusimamia, kumkosoa au kumtetea. Mimi sina shida na uraia wake kwa sababu siyo Mbunge wa Jimbo langu.
Isitoshe, Dotto anaonekana ni mchapa kazi. Maadam ni mchapa kazi, hata kama uraia wake ni wa nchi nyingine, bado tunaweza kumwazima kwa muda kwa maslahi mapana ya Taifa letu la Tanganyika.
Hizi hoja , ukifiria kwa undani sana, unajua tu kuwa, zinatoka kwa kipara. Inaonekana kipara kwa, sasa ana muogopa, sana Doto kwenye ushindani anaoufikiria.Dotto Biteko ameituliza sana wizara ya nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana wajomba Dubai na amewagawia bandari zote za Tanganyika.
Hata makamba anawajomba njeWaziri Dotto Biteko ambaye pia ni naibu waziri mkuu ameituliza sana wizara ya nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana wajomba Dubai na amewagawia bandari zote za Tanganyika.
Kwa hiyo hoja kwamba siyo raia wa Tanzania ni upuuzi mtupu na ni mbinu za mafisadi kumchafua.
Kuwa na ndugu nje ya nchi si kosa. Hata Lissu ana ndugu Wamarekani.
Kwani uraia wa Biteko ukoje? Wa kuzaliwa au wa "kununua"?
Kama kuwa na wajomba nje wanaoweza kufanya haya nini cha kujivunia, au huelewi unacho andika hapa?Kama kuwa na wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana wajomba Dubai na amewagawia bandari zote za Tanganyika.
Na inasikitisha na kushangaza sana hawa watu wanawezaje kujipenyeza miongoni mwetu hadi kufika huko juu bila kugundulika.Mhamiaji haramu kwa sababu hakuwahi kufuata taratibu za kuupata uraia wa Tanzania kwa mujibu wa sheria. Yeye ajiuzulu nafasi zote, kisha afuate tu taratibu za kurasimisha uraia wake kwa kuukana uraia wa nchi yake asilia.
Huyo aliye mteua katika nafasi hizo, hata yeye licha ya kushika wadhifa wa juu kabisa, haieleweki baba yake mzazi ni nani na anaishi/aliishi wapi?Jiwe la gizani limempata mtu. Ifahamike kwamba kama siku ile CDF anaongelea tishio la kiusalama la wahamiaji haramu kushika nyadhfa za maamuzi na huyo bwana alikuwepo kwenye list basi lazima ataondolewa tu.
Ni fisadi wa hatari kabisa. Na machoni pa watu ni kama Bashe.Huyu ndiye mmoja wa wale aliowataja Mkuu wa Majeshi " kuna wahamiaji haramu wameteuliwa kwenye nafasi nyeti" huyu ni mmoja wapo.
Tunatawaliwa na wageni
Ni fisadi wa hatari kabisa. Na machoni pa watu ni kama Bashe.
Hata wayahudi walipokua ugenini kila pahali walichuma mali nyingi sana kwa ajili ya kujenga kwao.
Hakuna mgeni asiyependa kwao alikotoka.
Siwabagui kwa sababu ya asili yao lakini ni wazi kuwa Hawa wanaojulikana kabisa ndugu zao ,shangazi zao ,wajomba zao,babu zao na binamu zao walipo hawafai kupewa vyeo vya juu na kwenye maamuzi ya mustakabali wa rasilimali zetu . Wafanye kazi kama wataalamu kwenye maeneo mengine.
Mgeni nchi ikinuka kwa ufisadi alioufanya atakimbia nchi ndio maana kwa sasa wanawekeza sana Dubai na kwingineko. Wale ni wapitaji na wasaka fursa. Ukifuatilia hata Paroko muuza viungo vya watu sio Mtanganyika. Hakuna muhaya katili kiasi kile.
Kwa sasa hawa wageni hawakomeshi ufisadi zaidi ya kulinda kamba za watu zisikatike ili wale kwa urefu wa kamba yake.
Mleta mada anamsifia huyo mtu wakati tangu amewekwa kwenye nafasi ya unaibu Kaka mkuu ufisadi umepanda kwa kasi kubwa kama vile amekuja kuweka beria ya kumzuia Kaka mkuu asifanye kazi yake.
Yeye pamoja na Kamati ya Nishati walifanya ziara ya Kukagua Mabwawa ya maji mwaka jana na Januari lakini ulikua ni usanii. Kila walikokagua palitengenezwa usanii wa kufungulia maji ili mapendekezo ya serikali kutenga bajeti ya ruzuku ikubalike.
Tukajiuloza ina maana intelijensia yao haiwaambii yanayotendeka au wako bize kumuandama baba Lisu na Msigwa na Sugu na Mbowe!!
Yaani yupo Kaka mkuu na naibu kaka mkuu anayesifiwa kuwa ni kijana machchari haafu Meli ya Sukari irudi na mzigo wake bila kupakuliwa halafu Intelijensia yao isijue huo mchongo na pesa ikatolewa bil.500 kwa mujibu wa taarifa ya mpina na wazalendo wengine walioshuhudia meli ikitinga na sukari magumashi kisha ikaondoka na mzigo wake kama unifomu zilizomng'oa Kangi Lugola (Japo yeye aliingizwa mkenge) ,kosa lake likawa kulidanganya bunge kumbe hana taarifa za uhakika .Bashe amelidanganya Bunge halafu Spika ameridhia wizi wa bil.500 uwe ni halali bila kujiuliza tu kweli Sukari Tani Elfu 60 zisizolipiwa kodi ziingizwe kwenye soko halafu sukari isiuzwe hata Sh.1800?? Inaingia akilini kweli au ni mkakati kamili. ? Nimeichomekea hii mana kila anapotajwa na kutukuzwa Mungu lazima Shetani naye alaaniwe.
Umenena vyema sana. Hoja zao za kijinga tunawaachia wao.Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana wajomba Dubai na “amewagawia bandari zote za Tanganyika”.
Kwa hiyo hoja kwamba siyo raia wa Tanzania ni upuuzi mtupu na ni mbinu za mafisadi kumchafua.
Mtetea mafisadi na uovu kwenye ubora wakoWaziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana wajomba Dubai na “amewagawia bandari zote za Tanganyika”.
Kwa hiyo hoja kwamba siyo raia wa Tanzania ni upuuzi mtupu na ni mbinu za mafisadi kumchafua.