Hoja wanazotumia kumwandamana Dotto Biteko hazina mashiko

Hoja wanazotumia kumwandamana Dotto Biteko hazina mashiko

Kama wasukuma wenyewe walisukumwa Toka huko mbali na kuweka kambi hapa,

Wote hapa hayupo wa asili Bali mixture.

Biteko ubarikiwe!!
 
Kama wasukuma wenyewe walisukumwa Toka huko mbali na kuweka kambi hapa,

Wote hapa hayupo wa asili Bali mixture.

Biteko ubarikiwe!!

Sio kweli.
Yule angekua ni mpinzani sasa hibi angekua ameshafukuzwa.

Asili ya mtu ni togauti na uraia. Asili ya mtu inaweza ikawa hata ni Uturuki lakini baba zake au babu zake walizaliwa hapa Tanzania kabla ya uhuru hao watakua ni watawa bila kujali asili yao hata kama ni wagitiki. Lakini Biteko ni matokeo ya vita vya wahutu na watusi miaka ya tisi na nne .
Hana sifa ya kuingia kwenye Baraza la mawaziri kwa usalama wa nchi na rasilimali zake.
Wageni wameshaona kuwa watanganyika ni waoga hata kuingia kwenye siasa . Watanganyika wanaogopa kiuawa na kulogwa na wanasiasa wa CCM jambo ambalo wageni hawana woga kwani hawana cha kupoteza zaidi wanaweza wakatoka kama Biteko kupitia siasa. Kwa hiyo wageni wakija wanakuja na ujasiri mkubwa na kujifanya wanapambana na kuwataja mafisadi bila kuwaogopa lakini wakishapata nafasi wanageuka kuwa mafisadi wakibwa na watu wasiokua na uchungu tena nchi.

Biteko siku hizi analaumu watu wanaowachunguza wenzao badala ya kuangalia maisha yao. Yaani anakua ni kizuizi cha kuwataja mafisadi na watu wakiwataja anaonekana ana roho mbaya . Huko ni kulinda ufisadi.
 
Back
Top Bottom