Uchaguzi 2020 Hoja ya CHADEMA kwamba wahudhuriaji wa mikutano ya CCM kwamba wanabebwa kwenye magari naifananisha msemo wa usilolijua sawa na usiku wa giza

Sasa kwa hoja yako kama mna wanachama idadi hiyo hapa umekuja kutafuta huruma ili iwe nini? Kwanini usikae sasa usubiri ushindi limbukeni wewe.
 
Wanachama ni mtaji wa chama chochote sisi kwetu wanachama ni tunu tutawalinda na kuwajali na kuwaheshimu wao ndio wanaotuwezesha.
 
Na baada ya kusombwa wanaachwa bila kurudishwa walikowatoa..

Hili nalo hulijui, wewe uko nchi gani?
 
Umedahau kuweka namba ya simu
Ukitaka kuanzisha biashara naanzia sokoni sisi tunajua soko letu kubwa ni uanachama nyie mnaotegemea watu waliofukuzwa kwa kufoji vyeti,watumia madawa ya kulevya, chokoraa, waliozoea vya kunyonga na wale wasio na kadi mtajijua wenyewe sisi tunajua kura kuanzia M18 tunahuhakika nazo.
 
Na baada ya kusombwa wanaachwa bila kurudishwa walikowatoa..

Hili nalo hulijui, wewe uko nchi gani?
Sio rahisi na haitakaa itokee tunabeba wanachama hai wenye kadi na wenye uwezo wa kupiga kura.
 
Sio rahisi na haitakaa itokee tunabeba wanachama hai wenye kadi na wenye uwezo wa kupiga kura.
Kuvaa jezi ya kijani tu unaingia mahali kula ubwabwa..

sio utani,. huku kwetu vikao vya ccm watu wanakula wanasepa kigezo ni jezi tu
 
Wewe mtoto acha kuchezea cm ya babako, nenda kacheze FACEBOOK, hpa UTABAK....Bure!🀣🀣🀣🀣🀣
Ukweli utabaki kuwa biashara inataka wateja ndio maana siku hizi huwezi kusubiri mteja,mteja anafuatwa na sisi wapiga kura wetu ni muhimu tunawafuata popote walipo na tunawapa elimu ni cha kufanya na uzuri vitongoji vyote tunavyo sisi vijiji sisi hivyo biashara imeisha.
 
Mkuu aliyeandika hapa ima;

A. Hana uzoefu wa kuandika katika hicho kifaa alichotumia kuandika

B. Mvivu kupangilia andiko lake/ ameharakia kuposti

C. Kichwani "ngoma draw" (angalia matamshi yake mf. wanaoudhulia badala ya wanaohudhuria)

D. Vyote kwa pamoja
 
Umenena kweli tupu mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Hili hata wewe hatakiwi kujiaminisha kwamba utashinda hata Kama utajaza uwanja was Taifa
 
Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu?...
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail..
 
Hayo mambo sisi hayatuhusu.
 
Endeleeni kujidanganya mama maria anaweza kutoka kwa miguu kutoka kijijini mpaka musoma mjini tunazungumzia wapiga kura wa uhakika akiwemo mama maria nyerere.
Nikukumbushe tu kuwa ,,, sio wote wenye kadi ya chama chako watapigia kura chama chako! Weka mahaba pembeni mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…