Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 425
...Bado ninadirki kusema serikali ya awamu ya nne ni shujaa maana imefungua milango yote ya uhuru na mpaka baadhi ya watu wanadirki sasa kufanya mashambulio ambayo dhahiri yanaonyesha kulenga mtu binafsi??? Kweli tumefikia hapo bila ya kujijua ama kwa makusudi?????
Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kama mwandishi wa hii makala anayaamini haya na kudiriki kuyaweka bayana mbona anawashutumu wanaotumia huo uhuru kwa kwa kushambulia utendaji wa awamu ya nne?