Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Anaweza tofautisha civil societies from politicians!?Mbona hata hizo Civil Societies zenyewe baadhi zina mafungamano na baadhi ya vyama vya siasa!
Kinachotakiwa ni kutanguliza tu mbele maslahi ya Taifa, kama walivyofanya akina Jaji Warioba kwenye ile Tume yao ya kukusanya maoni ya Katiba.
Kitila ni kichaa maana Civil societies zenyewe zimejaa UVCCM tupuMwalimu Kitila Anasema Kwamb
.
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa,yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyingi pia zimejaa Uccm+UcdmKitila ni kichaa maana Civil societies zenyewe zimejaa UVCCM tupu
MKUMBO ni TIMU MAGUFULI aka SUKUMA GANGMwalimu Kitila Anasema Kwamb
.
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa,yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
KUNA CIVIL SOCIETY MOJA MIAKA KAMA SITA NYUMA ILIKUWA INAJIHUSISHA NA MASUALA YA KISIASA.
Nafikiri mnaelewa kilicho wakuta na walikuwa mfano kwa civil society nyingine.
Kazi ya civil society ni kutoa tu elimu sahihi kwa jamii au huduma Fulani kwa jamii na haitakiwi kuwa upande wowote ule wa kisiasa na hazitakiwi kunihusisha na siasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
I don't know how that'll work. Kuna wakati serikali ililalamika kuwa baadhi ya NGOs/CSOs zinajihusisha na mambo ya siasa na kutishia kuzifuta zikiendelea na mwelekeo huo. Nafikiri mojawapo ni LHRC. Zamani zaidi ilikuwa BAWATA ya mama Tibaijuka kabla hajaenda UN na yenyewe ikafa.Mwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa,yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Kazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!Kitila ni kichaa maana Civil societies zenyewe zimejaa UVCCM tupu