Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo tunashangaa eti kikosi kazi sasa kwa kazi ipi ndugu zangu? Kila kitu tayari tunacho haya masuala ya kuchonjoa kuni ili maji ya ugali yapoe si tabia nzuri.Kazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!
Politicians are not interested in the people’s interests but their own.
Yatawekwa mapandikizi labda viongozi wa dini wa kweliKazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!
Politicians are not interested in the people’s interests but their own.
Kitila Mkumbo ni moja ya mikosi iliyotokea kwenye elimu ya Tanzania , Ni aibu kwa TaifaMwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Hoja ya KATIBA mpya Nchi hii Si ngeni, ni mwendelezo wa tulipoishia ktk Rasimu chini ya Judge Warioba.Mwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Propesa Kitila Mkumbo.....!!Mwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Hawa huwa ni wataalam wa mambo ya katiba waliowahi kusaidia kuandika kwenye nchi kama South Africa, Ghana etc.Yatawekwa mapandikizi labda viongozi wa dini wa kweli
Kama wanatako nje ya Africa sawaHawa huwa ni wataalam wa mambo ya katiba waliowahi kusaidia kuandika kwenye nchi kama South Africa, Ghana etc.
Wanatoka Dunia nzima!Kama wanatako nje ya Africa sawa
Hao professionals ndio worse si ndio wakina Prof.Muhongo, Prof.Osoro, Dr.Mahera hao ni wasomi wakubwa ila kutafuta teuzi na favor za MaRais kuliwafanya waweke Elimu zao pembeni na kugeuka waimba kwaya.Kazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!
Politicians are not interested in the people’s interests but their own.
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.
Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Professionals hao sio Hawa wa mchongo kama Osoro hata sijui nani alimpendekeza kwa Jiwe kwani mimi namfahamu sana kuwa ni mtupu!!Hao professionals ndio worse si ndio wakina Prof.Muhongo, Prof.Osoro, Dr.Mahera hao ni wasomi wakubwa ila kutafuta teuzi na favor za MaRais kuliwafanya waweke Elimu zao pembeni na kugeuka waimba kwaya.
Hao nao watakua kama taskforce tu si umeona mapendekezo Yao yanaangalia msimamo wa mama ilihali ilitakiwa wamshauri wanachoona wao ni sahihi!! Maana taskforce yote Ile Kila mtu anawaza kuteuliwa top role serikalini!!
Solution ni hao hao wanasiasa tu maana maamuzi yoyote lazima yapite bungeni ambako wamejaa wanasiasa pekee!!
SawaWanatoka Dunia nzima!