Hoja ya Kitila Mkumbo kuhusu mapambano ya Katiba Mpya

Kazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!
Politicians are not interested in the people’s interests but their own.
ndiyo tunashangaa eti kikosi kazi sasa kwa kazi ipi ndugu zangu? Kila kitu tayari tunacho haya masuala ya kuchonjoa kuni ili maji ya ugali yapoe si tabia nzuri.
 
Kazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!
Politicians are not interested in the people’s interests but their own.
Yatawekwa mapandikizi labda viongozi wa dini wa kweli
 
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba

Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.

Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.

Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Kitila Mkumbo ni moja ya mikosi iliyotokea kwenye elimu ya Tanzania , Ni aibu kwa Taifa
 
if you cannot beat them join them!.

hapo hapo kwenye kikosi kazi ndo pa kukazia na kubembeleza kuhakikisha kikosi hakipotelei hewani na ajenda za wananchi zinaingizwa kwa kunyatia mdogo mdogo tu katiba ikafika.

kitu kikiwa na mwanzo ni rahisi kukitimiza hata kama kitachelewa! kikosi kazi ni mwanzo wa mchakato wa katiba mpya ya wananchi tupunguze jazba tuwapepee ili wasituparure tahamaki one day tutawin, tuwe pembeni kuwauliza kila mara "jamani kikosi kazi mmefika wapi"

maswali magumu raia tunayohitaji majibu toka kikosini ni je kikosi kazi kinatengeneza katiba ya nani? kwa maslahi ya nani? kwa pesa ya nani? pesa kiasi gani? mchakato ni wa muda gani?nani aliewatuma? kwa maelekezo gani?
 
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba

Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.

Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.

Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Hoja ya KATIBA mpya Nchi hii Si ngeni, ni mwendelezo wa tulipoishia ktk Rasimu chini ya Judge Warioba.
 
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba

Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.

Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.

Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.
Propesa Kitila Mkumbo.....!!
 
Nikiwa namtazama akiongea huwa najiuliza huyu Kitila Uprofesa aliupateje?
Yaani ni afadhari profesa Maji marefu kuliko huyu profesa jalala.
 
Kazi kubwa ya Katiba mpya ilikwisha malizwa na tume ya Warioba. Iliyobakia ni kazi ndogo inayoweza kumalizwa na professionals siyo politicians tena!!
Politicians are not interested in the people’s interests but their own.
Hao professionals ndio worse si ndio wakina Prof.Muhongo, Prof.Osoro, Dr.Mahera hao ni wasomi wakubwa ila kutafuta teuzi na favor za MaRais kuliwafanya waweke Elimu zao pembeni na kugeuka waimba kwaya.

Hao nao watakua kama taskforce tu si umeona mapendekezo Yao yanaangalia msimamo wa mama ilihali ilitakiwa wamshauri wanachoona wao ni sahihi!! Maana taskforce yote Ile Kila mtu anawaza kuteuliwa top role serikalini!!

Solution ni hao hao wanasiasa tu maana maamuzi yoyote lazima yapite bungeni ambako wamejaa wanasiasa pekee!!
 
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba

Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.

Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa madarakani.

Nadhani Hoja ya KITILA IPO SAHIHI KABISA LAKINI HAINA APPLICABILITY KWA SASA.

Hivi Kitila Mkumbo ni Mwana CCM ?. Yule sio mwana CCM ndio maana aliondolewa kwenye uwaziri. Yule ni mpinzani aliye bebwa na Magufuli CCM
 
Hao professionals ndio worse si ndio wakina Prof.Muhongo, Prof.Osoro, Dr.Mahera hao ni wasomi wakubwa ila kutafuta teuzi na favor za MaRais kuliwafanya waweke Elimu zao pembeni na kugeuka waimba kwaya.

Hao nao watakua kama taskforce tu si umeona mapendekezo Yao yanaangalia msimamo wa mama ilihali ilitakiwa wamshauri wanachoona wao ni sahihi!! Maana taskforce yote Ile Kila mtu anawaza kuteuliwa top role serikalini!!

Solution ni hao hao wanasiasa tu maana maamuzi yoyote lazima yapite bungeni ambako wamejaa wanasiasa pekee!!
Professionals hao sio Hawa wa mchongo kama Osoro hata sijui nani alimpendekeza kwa Jiwe kwani mimi namfahamu sana kuwa ni mtupu!!
Hao ninaowasema ni international constitutional experts kama prof. Yashpal Ghai etc. ambao watu kama Warioba na Shivji wanafahamu their international standing.
 
Back
Top Bottom