Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

haipo sehemu serikali inalazimisha watu kuamini taarifa zake.

wewe shika unachotaka,ila kama una kingine tofauti kuna namna ya kufanya ukasikilizwa kuliko kupiga makelele serikali inadanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
Imetunga mpaka sheria mzee!!
Kutaarifu ni monopoly! gaavument onry!!

No check and balance.
 
Tulikuwa hatuna historia ya kuzikana kwa kificho/ usiku usiku.
 
mzee Pasco Tanzania hakuna alie kufa na corona mbona unajichanganya au umesahau kuwa vipimo vinasema uongo ooooh ni vipimo vya mabeberu so mpak saiz Tanzania hakuna mgonjwa wala kifo full stop
Tena vipimo vyenyewe viliingja nchi wakati Magufuli na serikali yake wakiwa wamesinzia.Poor government
 
Imetunga mpaka sheria mzee!!
Kutaarifu ni monopoly! gaavument onry!!

No check and balance.
Nitajie nchi moja tu duniani ambayo idadi ya vifo vya corona huwa haitangazwi na serikali ? Inatangazwa kiholela tu na yeyote.Taja nchi moja tu mfano!! Huu wako ulimbukeni tu ambao haupo popote duniani!!! Ulichoandika ujinga mtupu kujitia una exposure kumbe kichwani mweupee
 
Corona ni Kama fumbo, ambalo limemchanga kila mtu. Hakuna aliye na uhakika. Karidi ya vyanzo mbalimbali yule Mshirikina wa Sumve (Richard Ndassa) chumba alichofia kulikua na majani ya kujifukiza ila haikusemwa wazi wazi alikufa kwa ugonjwa gani. Mingine Vinyungu vitumike, mwingine dawa kutoka Madagaska. Hizi zote no dalili za kuchanganyikiwa. Tukatae tukibali tatizo la Corona ni kubwa zaidi linavyoelezwa.


Mzee Paschal ukweli ni ukweli hakuna ukweli wa aina nyingi. Truth is "ONE AND EVERLASTING" ukweli hauwi ukweli kwa sababu umesemwa na watu fulani UKWELI NI UKWELI KWA SABABU NI UKWELI hautegemei nani kasema. Watu wanaona, watu Wana akili, watu wanajua.
Kila mtu afanye jitihada za kujikinga mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani.
Najua utabisha.
 
Mkuu Pasko leo umejichanganya kuwabagua baadhi ya members humu na kuwaita "vitoto".

Kwa umri wako najua unajua mtoto ukimuonya usifanye jambo fulani bhasi yeye atakifanya ni kama vile umemwambia afanye hilo jambo.

Tuongee kwa hoja sio umri, wadhifa wala elimu.
 
Taarifa za uongo walizotoa Wizara hapo mwanzo tunazipinga Mimi na Pascal wa JF, hamna kifo cha corona Tanzania, hapa wakufa vifo vya awali, ukimwi, malaria nk.

Mimi na Pascal wa JF tumegundua wale watano wa awali walikufa malaria ikapelekea matatizo kupumua na baada ya maombi hamna kifo Hata kimoja.

Tunaomba Basi U DISi Basi ingalau mkuu!
 
Umejitahidi sana kuandika kwa ku balance hoja. Tatizo langu ni pale jemedari mkuu wa vita anapoanza kupambana na makamanda wake.
 
Hao Wana quote tu taarifa za serikali sio kuwa wao ndio source!!! Kwa hiyo wewr uki quote taarifa za serikali unageuka ghafla kuwa ndie source yenyewe?
Curently JHU is the best research University in the universe.

Usa inachukua taarifa pale.
 

Raisi ameshasema mahabara ni ya uongo kwa hiyo hizo namba ni pamoja na kware, mbuzi na mapapai wewe Paskali unatulazimsha tusimfuate Raisi tukufate wewe tena mbona mnatuchanganya au tukuseme TCRA waje kukuchukua na wewe. Maneno ya Raisi ni sheria na nyie mnayosema haya ni wahitimu wa sheria. Unposema serikali yenu ni ipi kama ya mzee Magu keshafunga mjadala na Mwigulu anakutafuta kuangalia hizi jinai mnazotuletea.
 
Curently JHU is the best research University in the universe.

Usa inachukua taarifa pale.
Kwenye corona Hawa research wanakusanya tu takwimu toka serikali mbalimbali.duniani.Wa research Nini wakati serikali inazo hizo takwimu.Wao Wana collect tu data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…