Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

Kwenye corona Hawa research wanakusanya tu takwimu toka serikali mbalimbali.duniani.Wa research Nini wakati serikali inazo hizo takwimu.Wao Wana collect tu data
.......kumbe nabishana na dudu proof.
 
Only a fool will believe serikali ya wadanganyika

Huu uandishi ni wa kuwakosea sana WaTz but why mnaona wengine wote ni wajinga
Ninyi kama waandishi wa habari mnaowajibu wa kutafuta habari na kuthibitisha yanayozungumzwa mtaani
Mnakaa majumbani mnaandika mnayosoma kwenye social media
Go out and find the truth Tell WaTz the TRUTH THE WHOLE TRUTH
Hii dhambi itawahukumu wote

Nani asiyejua watu wanakufa si wote wanakufa kwa Covid-19 but the highest number kwa sasa ni wale wenye maambukizi.

Hamuwasaidii WaTz kuwaambia eti 16 tu ndio waliokufa hakuna wa kubisha seriously???!
Mtashangaa vipi kwa watu kutokuchukua tahadhari
Nchi za wenzetu waliokumbwa na janga hili kwa sana walitambua makosa wakachukua tahadhari maambukizi yanapungua maisha yanaanza kurudi watu wanaanza kurudi makazini

It is sickening kuona na kusoma namna watu msivyojali maisha ya Mtz

Msijidanganye Corona ni yetu sote tuache KUSIFU NA KUABUDU
HUU UANDISHI WA KUUMA NA KUPULIZA KWENYE ISSUE SENSITIVE KAMA HII NI AJABU SANA.
 
Stupid post from an imbecile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea mambo ya msingi sana.

Ila kiukweli hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kuaminiwa kwa asilimia angalau 50.

Lakini serikali ya raisi John Magufuli inaweza kuaminiwa kwa asilimia 100 endapo inajumuisha taarifa zake na zile za wale ambao wanakuwa hawaiamini.

Lakini si serikali ya Marekani, wala Uingereza wala China wenyewe unakotoka ugonjwa ambapo zinaweza kuaminiwa.

Hizi nchi zilikuwa zinaficha idadi halisi ya vifo khasa vile vya watu ambao wanakufa majumbani na kwenye nyumba za kutunzia wazee na watu wenye ulemavu.

New Zealand wametangaza kabisa kwamba hakuna maambukizi zaidi ya COVID-19 nchini humo na wameruhusu shughuli ziendelee kama kawaida na hakuna serikali yoyote ile ya nchi ingine ambayo imeikosoa New Zealand.

Na ni hizi serikali ambzo zilikuwa zikizuia kutoa taarifa za idadi ya watu ambao wamefanyiwa testing na wakasema wanefikia idadi ya 100000 kwa mwezi wa April lakini wameshindwa.

Wale ambao hawaiamini serikali ya awamu ya 5 wanapaswa kuweka mezani taarifa zao zote zinazohusu vifo vinavyoendelea na vyanzo vya vifo hivyo kisha kujumisha na taarifa za serikali ambazo zinaambatana na vielelezo vya maabara kuu na taarifa za madaktari.

Lakini maabara kuu kama tulivyoambiwa imechakachua matokeo ya vipimo vya hata mapapai.

Ila kiukweli huwezi kushawishi wananchi waiamini serikali yao ingawa serikali ya raisi Magufuli inaaminiwa kwa asilimia 95 hadi sasa.

Hivyo ukiangalia idadi ya watanzania milioni 56 sasa ukichukua asilimia 5 ambao hawaiamini basi serikali ipo uzuri na inaaminika.

Kwa kuwa watanzania ambao wameathirika na utendaji wa serikali hii wanaichukia serikali , basi wana ushawishi kwa hata wale watu wa maabara ambao wanachakachua matokeo ya vipimo ili kuharibu "credibility" ya serikali hii.
 
aisee yaan ile cover up ya china ni hatari sis tz hatujafcha chochote mbona
 
Nimepata jibu kwa nini huyu mzee alienda kwenye kikobe cha babu kule samunge. Ni mpenzi sana wa imani za jadi hata kuliko utaalamu aliosomea. Very unfortunate. Hadi sasa hakuna anayemwamini, awe kiongozi wa dini, mtaalamu, n.k. Wote ni vibaraka wa mabeberu tu.
 
Paskali. Hao 16 unaowasema wamakufa wamepimwa wapi wakati hatuna wataalamu wanaosema kweli wala vipimo vya kweli vya kupima ugonjwa huu?
 
Verifaidi yuzasi mnateseka sana, ila yawapasa kufanya hivyo.... tunaelewa hoja na hofu zenu.
 
Kwa nyongeza, je, wangapi kwenye, ukoo na mtaani wameambukizwa au kufariki kutokana na maambikizo?

Sikubaliana nawe Paskali kuwa elimu ya kutosha haijatyolewa. Karibu vyombo vyote vya habari vinatangaza njia na mbinu za kujikinga dhidi ya maambukizi, kiasi hata vijijini wamebadilika kitabia km kutumia chombo kimoja cha pombe.

Kilicho dhahiri ni baadhi ya watu kwa makusudi wanadanganya na kudanganyika hadi kufikia kusema na kutenda mambo kwa mzaha.

JIKINGE UWAKINGE UWAPENDAO
 
Toka idadi ya vifo 16 iliyatangazwa mara ya mwisho na Waziri Mkuu siku ya Jumatano ya wiki iliyopita, mpaka leo ni zaidi ya wiki, hakuna update yoyote, kwa vile hili ni janga, kihabari kama maambukizi yangeendelea na vifo kuongezeka, kungekuwepo na update ya bad news, hivyo kunapokuwepo hakuna updates yoyote, kwa sisi wanahabari, hiyo situation inaitwa "no news" situation, hivyo no news is good news, therefore as far as Corona virus situation in Tanzania, up to now, there's no news which is good news, mpaka hapo itakapotangazwa tena!.

Naendelea kusisitiza tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa huu ndio ukweli wenyewe, toka ile Jumatano iliyopita the status quo is as it was!.

P
 
Kufika Jumapili 3/ 05/ 2020 JPM alipokuwa anaongea kulikuwa cases 6,500 za COVID19 na vifo 546 kwa Tanzania nzima.

Anayebisha namba hii asubiri afe yeye kwa COVID19 halafu tutamhesabu
 
Kwa hiyo mkuu Pascal hata waliokuwa wagonjwa nao hakuna hata mmoja aliyepona?
Unahitaji uwe na moyo wa mwendawazimu kuamini uongo huu, ambao hata shetani anaona tunataka kumzidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana Tanzania ndiyo inaongoza kuwa na watu wapumbavu zaidi duniani.



"Not everything is for everybody"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…