Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

Wanabodi, hata baada ya kutangazwa kwa kuongezeka kwa idadi ya vifo vya Corona kwa upande wa Zanzibar kwa kuongezeka vifo 5, idadi rasmi ya kitaifa bado ni bei yake inaendelea idadi ile ile ya last update hadi zile mamlaka 5 za update ya kutaifa, zitangaze new updates na kuijumuisha hiyo updates ya Zanzibar.
P
 
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…