Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mbunge wa Hai alikuwa anashinda Chako ni chako Dodoma. Alishau kuwatumikia wananchi.Sawa tupe na list ya miradi iliyofanyika Chato tulinganishe na iliyifanyika Wilaya ya Hai
Sasa kama mbunge alikuwa anakula bata Dubai na Dodoma kuna miradi itafanyika?Nipe list ya miradi iliyofangika Hai. Au serikali haikusanyi kodi Hai?
mwanzo pia na mimi niliamini hivyo lakini ikabidi nijiongeze kidogo kwanini Chato:-Lakini hili la uwanja Chato,hapana,hapana hapana!
Ni matumizi mabaya ya kodi za watanzania!
Tuwe wakweli,mteja wa uwanja huo ni JPM mwenyewe!
Mbunge wa Hai alikuwa anashinda Chako ni chako Dodoma. Alishau kuwatumikia wananchi.
Sasa kama mbunge alikuwa anakula bata Dubai na Dodoma kuna miradi itafanyika?
[by the way umenifurahisha hapo uliposema "hifadhi ya Chato sehemu kubwa ipo upande wa Kagera"[/Blue]...hapohapo ukasahau ikiwa sehemu kubwa ipo upande wa Biharamulo kwann jina la hifadhi lipewe eneo lenye upande mdogo yaani Chato?!.
chato chato chatooo
Jibu lipo wazi kama mbunge haombi miradi ya kutatua kero za wananchi wake. Alafu anashinda Chako ni chako Dom. Unategemea nini?Bado haujajibu ulicho ulizwa na uache kuhamisha Magoli ,Mbunge hakusanyi Kodi hajengi Barabara hajengi Madaraja.Jibu ulicho ulizwa kwanza.
Awamu hii imejaa viongozi tabularasa wengi sanaAisee,wenyewe wanasema miradi ya kimkakati!!!![emoji23][emoji23]
Wera weraaaaa.....Kila anayejaribu kujibu anaonekana hajajibu kisawasawa,warudi chemba waje na majibu ya pamoja maana kwasasa kila mtu anasema lake!Mwingine anasema haendi na uwanja kaburini,wengine ndio kama hivi,wengine ni mkakati wa miaka 50 ijayo!Yaani majibu yao vichekesho tu!😁😁!Lissu apige spana nyingine hapo hapo,kuna watu watavaa boxer kichwani!