Zgerald95
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 235
- 59
- Thread starter
-
- #21
Nadhani umekuja na hoja za msingi kuhusu udhaifu wa design ya website husika.
Ila hili la kudai kuwa website imeelekea zaidi kwa wale wenye desktop computers ukilingaisha na watumizi wa simu za mkononi, nadhani lazima uwe realistic kwa kweli.
Unajua wakati mwingine huwa hakuna compromise katika teknolojia, na you can't get what you think you deserve sabau teknolojia bado haija enda mbele vya kutosha hadi kukidhi haja zako.
Kwa hili inabidi ukubali na kwenda na hali halisi, mfano, huwezi ku-print documents kupitia simu ya mkononi, na kama una mfano wa website mbadala inayowezesha wanafunzi kufanya hayo unayoyataja kwenye madai yako, basi weka wazi.
Nadhani hujanielewa nachokizungumzia hapa ni ule mfumo mzima wa kupata maudhui yanayotolewa katika tovuti hii sio lazima kwa mwanafunzi asome kwenye mtandao mpaka a print umesema unataka mfano mfano ni huu hapa ukitembelea website za wenzetu kama vile enotes.com, answers.com wikipedia.org n.k utapata kila aina ya notes unazotaka na sio lazima uzi print unaweza ukazi summarise then uka zi copy kwenye notebook apart from that you can also save the files in opera mini browser kwenye cmu then mda wowote utakapo zihitaji unazipata...nadhani kama hii website ikaiga mtindo huu itakuwa bora zaid pdf haiko poa sana kibongo bongo sijui umenipata mkuu?