hoja ya mapungufu ya website mpya ya elimu iliyo anzisHwa na aliyekuwa miss tz 2004

Nadhani umekuja na hoja za msingi kuhusu udhaifu wa design ya website husika.

Ila hili la kudai kuwa website imeelekea zaidi kwa wale wenye desktop computers ukilingaisha na watumizi wa simu za mkononi, nadhani lazima uwe realistic kwa kweli.

Unajua wakati mwingine huwa hakuna compromise katika teknolojia, na you can't get what you think you deserve sabau teknolojia bado haija enda mbele vya kutosha hadi kukidhi haja zako.

Kwa hili inabidi ukubali na kwenda na hali halisi, mfano, huwezi ku-print documents kupitia simu ya mkononi, na kama una mfano wa website mbadala inayowezesha wanafunzi kufanya hayo unayoyataja kwenye madai yako, basi weka wazi.

Nadhani hujanielewa nachokizungumzia hapa ni ule mfumo mzima wa kupata maudhui yanayotolewa katika tovuti hii sio lazima kwa mwanafunzi asome kwenye mtandao mpaka a print umesema unataka mfano mfano ni huu hapa ukitembelea website za wenzetu kama vile enotes.com, answers.com wikipedia.org n.k utapata kila aina ya notes unazotaka na sio lazima uzi print unaweza ukazi summarise then uka zi copy kwenye notebook apart from that you can also save the files in opera mini browser kwenye cmu then mda wowote utakapo zihitaji unazipata...nadhani kama hii website ikaiga mtindo huu itakuwa bora zaid pdf haiko poa sana kibongo bongo sijui umenipata mkuu?
 
Kama tatizo ni kwamba hiyo website husika is not user friendly enough kwa watumiaji wa cellphones, hilo ni moja, lakini ukweli ni kwamba kama tatizo lako kubwa ni pdf compatibilty hilo linategemea software platform ya simu yako. Kuna software platforms kama Android, Blackberry, Symbian, Iphone OS, nk, na si zote zina-support pdf file format vilivyo.
 
kaka angalia hata aina za simu ambazo umezi orodhezesha hapo kwa experience yako ya maisha ya kawaida unadhani ni wanafunzi wangapi wanaweza ku afford kutumia simu za aina hiyo! Usiangalie kwa watu wachache angalia kwa ujumla! Na kumbuka lengo la kuanzishwa kwa tovuti hii ni kuwanufaisha wanafunzi wote kwa ujumla that is logic behind
 
Kwa kuongezea tu, nasikitika ya kwamba machapisho yao yaliyo katika mfumo wa PDF hayasomeki. Nimejaribu kufungua kwa njia ya simu kwa kutumia PDF+ Standard nikaambiwa "May not be a PDF (continuing anyway). PDF file is damaged attempt to reconstruct xref table couldn't find trailer dictionary. Unable to open file".
Wafanye marekebisho makubwa haraka iwezekanavyo, ikiwemo kuweka mpangilio mzuri wa machapisho. La sivyo itakuwa kazi bure.....
 
Umemaliza form six ama upop form six hebu fafanua kwanza
 
Safi sana kaka Zakaria...Kwa taarifa fupi tu ni kwamba, maoni mengi yanazidi kutolewa kila siku na yanachukuliwa ili kuiboresha zaidi na zaidi. Ninachoamini "KILA KIZURI HAKIKOSI KASORO".

Usisite kuwaandikia wahusika moja kwa moja kwenye email: admin@shuledirect.co.tz au simu namba 0716 74 86 74 au kwa wanaoweza kufika ofisini kwao,zipo MAYFAIR PLAZA,ndani ya MARA LAUNCHPAD.

Na pia kwenye twitter: shuleDirect, kwenye facebook kuna fb page yao: Shule Direct

Safi sana!Mawazo mbadala ni muhimu katika kufikia maendeleo ya kweli.
 
Last edited by a moderator:

sawa! Ila pia hizo contact zinatakiwa ziandikwe kwenye hiyo website
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuongezea tu, nasikitika ya kwamba machapisho yao yaliyo katika mfumo wa PDF hayasomeki. Nimejaribu kufungua kwa njia ya simu kwa kutumia PDF+ Standard nikaambiwa "May not be a PDF (continuing anyway). PDF file is damaged attempt to reconstruct xref table couldn't find trailer dictionary. Unable to open file".
Wafanye marekebisho makubwa haraka iwezekanavyo, ikiwemo kuweka mpangilio mzuri wa machapisho. La sivyo itakuwa kazi bure.....

kweli kabisa!
 
Safi sana kaka Zakaria...Kwa taarifa fupi tu ni kwamba, maoni mengi yanazidi kutolewa kila siku na yanachukuliwa ili kuiboresha zaidi na zaidi. Ninachoamini "KILA KIZURI HAKIKOSI KASORO".

Usisite kuwaandikia wahusika moja kwa moja kwenye email: admin@shuledirect.co.tz au simu namba 0716 74 86 74 au kwa wanaoweza kufika ofisini kwao,zipo MAYFAIR PLAZA,ndani ya MARA LAUNCHPAD.

Na pia kwenye twitter: shuleDirect, kwenye facebook kuna fb page yao: Shule Direct

Safi sana!Mawazo mbadala ni muhimu katika kufikia maendeleo ya kweli.

Naamala, good response! Was expecting it from you, bro!
Zakaria, nimetimiza ahadi yangu ya kuwasilisha maoni panapohusika na majibu yamekuja!

Quick response is always encouraging and shows how responsible are the persons!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
thanks alot kaka! Tukipata na watu wengine kama wewe hakika hii nchi itaendelea! Pamoja we can
 
hata sijui. mi ndo nimeiona jana

Ndo yenyewe. Ilizunduliwa na Naibu Waziri wa Elimu na Naibu Wazuri wa Maliasili na Utalii.

haha ndiyo hiyo hiyo!

1+%285%29.jpg

Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Phillip Mulugo (MB) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta mpakato (laptop) kuashiria uzinduzi rasmi wavuti ya www.shuledirect.co.tz. Mtandao unaowawezesha wanafunzi wa elimu ya Sekondari na jamii ya Tanzania kwa ujumla kujifunza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).

2-2.jpg

Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Phillip Mulugo (MB) akizungumza wakati wa tafrija ya uzinduzi rasmi wavuti ya www.shuledirect.co.tz. Mtandao unaowawezesha wanafunzi wa elimu ya Sekondari na jamii ya Tanzania kwa ujumla kujifunza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).

11.jpg

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyarandu (MB) akizungumza wakati wa tafrija ya uzinduzi rasmi wavuti ya www.shuledirect.co.tz. Mtandao unaowawezesha wanafunzi wa elimu ya Sekondari na jamii ya Tanzania kwa ujumla kujifunza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).

IMG_8985.jpg

Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Phillip Mulugo akifurahi jambo na baadi ya wanafunzi wa shule za sekondari waliokuwepo kwenye uzinduzi huo wakati akiwaonyesha kitu kutoka kwenye kompyuta.
 
mambo ya digitali hayo! Haha
 
Back
Top Bottom