Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

Hata mimi ni Mtumishi wa Umma. Ebu nieleze tumenyimwa nini hadi unatoa povu kiasi hicho? Kama ni nyongeza ya mshahara na unahisi ni haki yako, kwanini huendi mahakamani kuidai?
Ndio useme hivyo jukwaani kuwa watumishi wa umma hatutawapa annual increment kwa sababu si haki yao
 
N
Unajua hata Mimi nimemshangaa sana huyu mleta Mada!!! JPM mwenyewe alitamka hawezi kuongeza mishahara sasa sijui yeye katoka wapi na haya makamasi yake anayoandika hapa?? Wanaume tupunguze kujipendekeza inatia kinyaa sasa.
Ndy maana nikaliita jinga mkuu,yawezkana linamilik remote kweny sebule ya mme wa dada yake halijui maisha tunayopitia wafanyakazi
 

Wewe mpuuzi una kipaji cha kupandisha watu hasira aisee! Mungu akusamehe makosa yako. Huyo mgombea wako angekua ni mtu wa kutenda haki unadhani kuna mfanyakazi angekuja kulia lia humu?

Unafahamu kuna wafanyakazi waliajiriwa tangu mwaka 2014, mpaka leo hii wanaishi kwa mshahara ule ule? Kwa nini unaleta porojo na propaganda kwenye masuala yanayogusa maisha ya watu?

Au unategemea hata hao wagombea wa vyama vingine wangewezaje kuibeba hoja ya manyanyaso wanayofanyiwa wafanyakazi na huyo mgombea wako kuwa moja ya ajenda zao kwenye kampeni iwapo wangekua wametendewa haki?
 
Mara nyingi mawazo ya mtu yanategemea yeye no mnufaika was kiwango gani au waupande gani,yasikie na walewasio wanufaika was mfumo unaousemea.
 
#MitanoTena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…