Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Ndugu zangu habari?
Bunge letu linajadili nini kwa sasa? Maana mijadala mingi ninayoiona ninapoingia especially mitandaoni ni Tanganyika na Zanzibar na masuala ya Muungano.
Hivi wabunge wanajua wanatakiwa kujadili kitu gani? Na hizo hoja za zanzibar sijui Tanganyika zimetokea wapi?
Kuendelea kujadili utanganyika na uzanzibar ni kujigawa wenyewe na kupotezeana mda .
Yapo mambo mengi bunge linatakiwa kushauri serikali na mengi yanaumiza wananchi lakini badala tujikite na hayo mambo tuko busy na hoja ambayo sio ya msingi.
Emu turudi kwenye misingi yetu