Hoja ya “Public” na Overt Act: Jinsi submission ya Katuga ilivyogeuka kuwa hoja ya Lissu na kuwa kinyume cha serikali

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,901
Reaction score
27,423
Naiagalia submission ya Tundu Lissu na majibu ya upande wa Jamhuri, hasa maelezo ya Principal State Attorney Nassoro Katuga, kuna jambo moja linajitokeza wazi: Katuga katika baadhi ya hoja amekuja karibu sana na msingi ambao Lissu ameuweka, lakini badala ya kujkubali moja kwa moja udhaifu unaotokana na charge sheet, amejaribu kuuelezea kwa tafsiri ya kisheria.

Kwanza, hoja ya msingi kuhusu overt act ni muhimu. Katika misingi ya sheria ya uhaini iliyojadiliwa katika kesi hii, upande wa Jamhuri haukukanusha kwamba kuna mambo matatu yanayopaswa kuzigatiwa: allegiance kwa Jamhuri ya Muungano, nia ya kutenda kosa la uhaini, na nia hiyo kuonyeshwa kupitia publication au overt act. Mahakama enyewe ilirekodi kwamba vipengele hivyo ndivyo vilivyokuwa vinajadiliwa na kwamba upande wa mashtaka haukupinga msingi huo kwa ujumla.

Ndipo hoja ya Lissu inapopata uzito: ikiwa overt act ni sehemu ya lazima ya kuonyesha kwamba nia ya kutenda uhaini ilidhihirishwa, swali linakuwa ni kitendo gani mahsusi kilichofanywa na mshtakiwa ambacho kinatimiza hicho kipengele?

Lissu amekuwa akisema kwamba maneno pekee, bila kitendo cha wazi kinachodhihirisha utekelezaji wa nia ya uhaini, haawezi yenyewe kuwa overt act katika mazingira ya shtaka hili. Hii ndiyo maana amerejea maamuzi ya Grey Likungu Mattaka na Hatibu Gandhi. Kwa mujibu wa hoja yake, maneno yanapaswa kuonyesha au kuhusishwa na kitendo cha uhaini; si kila kauli kali au nia inayotamkwa kwa maneno inaweza moja kwa moja kuwa overt act.

Hapa ndipo hoja ya charge sheet inapokuwa muhimu zaidi.

Lussu ameeonyesha kwamba baahi ya maneno muhimu yaliyokuwa katika maelezo ya awali yameondolewa katika charge sheet. Ripoti ya tarehe 28 September 2026 inaeleza kwamba Lissu alihoji kuondolewa kwa maneno aliyodai kuwa ni muhimu katika kuelewa muktadha wa kauli zake.

Kwa mtazamo huu, badala ya Jamhuri kukubali kwamba kuondoa maneno hayo kumebadilisha au kupunguza maudhui ya kitendo kinachodaiwa, Katuga ameeleza kwamba Jamhuri ilifanya marekebisho hayo ili chaji sheet iwe wazi na iweze kuendana na ushahidi, akirejea Section 135 ya Criminal Procedure Act.

Hata hivyo, hapa ndipo hoja nyingine yenye uzito inapoibuka.

Hoja ya “public” dhidi ya “any person” au “group of persons”

Katuga amekiri wazi kwamba Section 39(2)(d) inatumia maneno “any person”, wakati charge sheet imetumia maneno “to instigate the public.” Hoja ya Jamhuri ni kwamba matumizi ya neno public yalilenga kufanya charge sheet iwe wazi na kuendana na ushahidi, na kwamba kwa tasiri ya Penal Code, public inaweza kujumuisha mtu mmoja, kundi la watu au watu wanaotumia eneo fulani.

Lakini hapa ndipo hoja ya Lissu inaweza kuuliza swali la msingi zaidi:

Ni nani hasa aliyedaiwa kuchochewa?

Ikiwa sheria inatumia “any person” au inatambua “a group of persons”, basi charge sheet inapaswa kumweka mshtakiwa katika nafasi ya kujua kwa usahihi ni mtu gani au kundi gani linalodaiwa kuwa lililengwa na uchochezi huo.

Kwa sababu katika kesi ya jinai, si suala la kusema tu kwamba public kwa maana pana inaweza kumaanisha watu wengi. Swali la kisheria ni kama maelezo ya shtaka yanamtambulisha mshtakiwa kwa kiwango kinachotosha kujua kitendo mahsusi anachotakiwa kujibu na namna kinavyounda kosa aliloshtakiwa nalo.

Hapo ndipo hoja ya “public” inaweza kuwa na tatizo ikiwa inatumika kama dhana pana sana badala ya kutaja watu au kundi linalodaiwa kulengwa.

Kwa lugha rahisi: huwezi kuishia kusema “aliichochea public” bila kueleza, kwa mazingira ya shtaka husika, ni watu gani au kundi gani lililochochewa na ni kitendo gani mahsusi walichochochewa kufanya.

Hii ni muhimu kwa sababu sheria ya jinai inahitaji kosa na particulars zake zitambulike kwa usahihi kiasi kwamba mshtakiwa aweze kujua anachotakiwa kujibu.

Je, Katuga amejenga au amedhoofisha hoja ya Jamhuri?

Hapa ndipo submission ya Katuga inakuwa ya kuvutia.

Kwa upande mmoja, anajaribu kuokoa charge sheet kwa kusema kwamba public inaweza kuchumuisha any person au a group of people. Kwa upande mwingine, maelezo hayo yanaibua swali ambalo Jamhuri yenyewe inabidi ilijibu:

Ni mtu gani? Ni kundi gani? Na ni kitendo gani walichochochewa kufanya ambacho kinatimiza kosa linalodaiwa?

Kwama jibu ni kwamba public ni pana kiasi kwamba inaweza kumaanisha mtu yeyote, kudi lolote au watu wote waliokuwepo au walioweza kusikia kauli, basi hoja ya specificity inakuwa muhimu zaidi. Mahakama haiwezi kuamua kosa la jionai kwa dhana isiyo na mipaka; inapaswa kuangalia kosa mahsusi lililoainishwa katika sheria na particulars mahsusi zilizoletwa dhidi ya mshtakiwa.

Hapo ndipo mjadala unarudi kwenye ushahidi

Basda ya hoja hizi za kisheria, kinachobaki ni swali la ushahidi: je, Jamhuri imeonyesha kwa ushahidi wa kutosha kwamba Lissu alikuwa na nia inayotakiwa kisheria, na kwamba nia hiyo ilidhihirishwa kwa publication au overt act inayokidhi kosa aliloshtakiwa nalo?

Lissu amejenga hoja kwamba ushahidi uliotolewa haujaonyesha overt act hiyo, na kwamba sehemu kubwa ya ushahidi kuhhusu kauli zake ilitegemea ushahidi wa mashahidi ambao hawakuwapo wakati wa tukio kwenyewe. Katika submissions zake, alisisitiza pia kwamba PW17 ndiye shahidi pekee kati ya mashahidi 17 aliyekuwepo kwenye mkutano husika, huku wengine wakitoa ushahidi kuhusu walichosikia au walichoona baadaye.

Lakini hapa pia kuna tahadhari muhimu: Mahakama tayari iliamua tarehe 21 Agosti 2026 kwamba Jamhuri imeanzisha “case to answer.” Mahakama ilisisitiza kwamba katika hatua hiyo haikuwa inatathmini kwa kina uzito au uaminifu wa ushahidi wa mashahidi, bali kama ushahidi uliowasilishwa uliunganisha mshtakiwa na kosa lililo katika charge sheet.

Kwa hiyo, kusema kwamba “kesi ya uhaini imekufa kabisa” kungekuwa ni hitimisho la mapema. Hoja yenye nguvu zaidi ni hii:

Submission ya Jamhuri imeonyesha kwamba kuna maeneo ambayo pande zote mbili zinakubaliana kuhusu msingi wa kisheria wa kosa ikiwemo umuhimu wa intent na manifestation kupitia publication au overt act. Mzozo mkubwa sasa ni kama maneno yaliyodaiwa, charge sheet ilivyoandikwa, na ushahidi uliotolewa vinaweza kisheria kutimiza vipengele hivyo.

Na hapo ndipo hoja ya Lissu kuhusu kuondolewa kwa maneno, matumizi ya “public,” kutokutajwa kwa walengwa mahsusi, na kutokuwepo kwa overt act iliyoainishwa inapokuwa muhimu sana.

Kwa kumalizia, naweza niksena haya;:

“Katika kujaribu kuitetea charge sheet, Katuga amefungua milango ya maswali yale yale ambayo Lissu amekuwa akiyaleta, ni kitendo gani mahsusi kilichounda overt act, ni nani hasa aliyedaiwa kuchochewa, na kama matumizi ya neno ‘public’ yanaweza kuchukua nafasi ya particulars mahsusi zinazohitajika katika shtaka la jinai. Kwa hiyo, badala ya kuondoa hoja ya Lissu, submission ya Jamhuri imeifanya hoja hiyo ionekane kwa uwazi zaidi.”

Kwa aina ye kesi, na namna ushahidi wake unavyopaswa kuwa, hapa ni kama ameiua kesi.
Hilo halikuwa jambo pekee, ila ni ambalo nimechagua kuliongelea. Huenda nikaja na lingine.
 
Well done Mkuu. Shida ya hawa wanasheria wa "ccm" ni kukubali kutumika hovyo. Unaambiwa na mjinga umpe Lissu kesi ya Uhaini wakati ushahidi haupo.
 
Halafu kwenye submission wanakiri kuwa wanalazimika kutumia maneno (kutengeneza ushahidi) kulingana na kesi. Yaani wanakiri kuuchonga ushahidi ili ufanane na aina ya kesi waliyoamua kumfungulia, kwamba kimsingi hapakuwepo na tukio lililopelekea kesi, bali wameanza na aina ya kesi wanayotaka, halafu wanatafuta namna ya kuifanya lugha na ushahidi uliopo uingie kwenye hiyo kesi.

Kupitia kesi hii, Serikali inawaonya Watanzania kwamba wanaweza wakafunguliwa kesi ya Uhaini hata kama kosa ni kuchepuka, au ni kuendesha gari isiyo na taa, au kupita kwenye taa nyekundu, halafu Jaji atatakiwa aendelee na kesi kwa kukuambia una kesi ya kujibu kwa sababu kesi imeshafunguliwa na una haki ya wewe pia kupewa nafasi ya kusikilizwa. Huku mawakili wa Serikali wakiendelea kuchongesha ushahidi to fit the narrative.
 
Ila majaji wameyataka wenyewe. Lissu aliweka P.O kwenye charge, akidai charge haioneshi kosa la uhaini dhidi yake. Cha kushangaza majaji wakasema kesi iendelee itajulikana huko mbele baada ya mashahidi kutoa ushahidi wao.
Hili ni tatizo, la Majaji, kuruhusu Kesi kuendelea kwenye Kesi yenye Mashtaka yenye mapungufu
 
ok.🐒
 
Well done Mkuu. Shida ya hawa wanasheria wa "ccm" ni kukubali kutumika hovyo. Unaambiwa na mjinga umpe Lissu kesi ya Uhaini wakati ushahidi haupo.
Katuga naye anajifanya kumuiga Lisu kwa kuleta maelezo mengi, lakini ukijaribu kuangalia ni kama ameleta ujinga mwingi. Ndio maana wenzake waliona wasiongezee chochote. Hiyo kesi ya Lisu imedhihirisha kuwa hakuna kesi yoyote ya nje tunaweza shinda kwa wajinga hawa.
 
Katuga anadhani atamdanganya nani kwa kudai kuwa maneno matupu ni matendo?. Yaani mimi nisimame sokoni niseme kwa sauti kubwa "NITAVURUGA Uchaguzi, nitakinukisha", Bila hata kuwaambia watu kachomeni vituo vya kura, au katekeni msimazi wa uchaguzi, au kazuieni magari ya kusambaza kura halafu niambiwe eti naitisha serikali nipewe kesi ya uhaini?-nonesense.

"Tutavuruga uchaguzi"- Hapo kitendo kiko wapi, na kina maana gani kuhusiana na kosa la uhaini hapo?. Kwani uchaguzi ukisusiwa na umma hapo haujavurugika?

"Tutahamasisha uasi"- Uasi gani?, wa kupinga kisiasa sheria na mifumo kandamizi na kushawishi wananchi waone kuwa uchaguzi wetu ni kiini macho na hivyo wachukue hatua stahiki za kisiasa ili wapate fair elections au ni uasi wa kupindua nchi?

"Tutakinukisha kwelikweli"- sasa hapo hicho ndo kitendo gani?, Mimi naona hapo mzungumzaji anamaanisha watafanya juhudi kubwa ili kupata mabadiliko.

"Najua watanifungulia shitaka la uhaini"- Ni kwa sababu wamezoea kushitaki/kuwapa watu wanaotaka mabadiliko makosa makubwa ya uhaini yasiyo na kichwa wala miguu kwa mfano Mwabukusi, Dr. Slaa na Mdude Nyagali wamewahi kupewa kesi ya uhaini kwa hiyo ni rahisi kuanticipate serikali hii itafanyaje ikipigwa presha kubwa ya kisiasa. Na Lissu kaionyesha mahakama katika shauri hili jinsi wanavyobambikiwa kesi na polisi, kwa hiyo haiwezi kuwa ajabu kupewa kesi ya uhaini ya mchongo. (kwanza haya ni maneno extra, akina Katuga hawakuyaweka ktk hati ya mashitaka, ameyaleta wakati wa submission tu, kama alikuwa anajiamini kwa nini hakuleta video nzima mahakamani au kutoa link ya online ili majaji wajionee wenyewe chote alichokisema Lissu kilichorekodiwa?).

Samia aliwaambia wananchi wakapige kura, mambo yote yako shwari, hakuna cha nywenye wala nywinywinyi. Sasa serikali inayojiamini hivi Lissu kaitishaje?

MNYONGENI LISSU KWA DHULMA LAKINI HAKUNA KESI PALE

YALE NI MANENO YA KISIASA NA LISSU MARA KIBAO KTK MAFUNDISHO YAKE AMEKUWA SI MUUMINI WA KUTUMIA NGUVU ZISIZO HALALI KUPATA MABADILIKO YA KISIASA.

Kama umependa hoja hizi hebu sukuma ujumbe.
 
Halafu kwenye submission wanakiri kuwa wanalazimika kutumia maneno (kutengeneza ushahidi) kulingana na kesi. Yaani wanakiri kuuchonga ushahidi ili ufanane na aina ya kesi waliyoamua kumfungulia, kwamba kimsingi hapakuwepo na tukio lililopelekea kesi, bali wameanza na aina ya kesi wanayotaka, halafu wanatafuta namna ya kuifanya lugha na ushahidi uliopo uingie kwenye hiyo kesi.

Kupitia kesi hii, Serikali inawaonya Watanzania kwamba wanaweza wakafunguliwa kesi ya Uhaini hata kama kosa ni kuchepuka, au ni kuendesha gari isiyo na taa, au kupita kwenye taa nyekundu, halafu Jaji atatakiwa aendelee na kesi kwa kukuambia una kesi ya kujibu kwa sababu kesi imeshafunguliwa na una haki ya wewe pia kupewa nafasi ya kusikilizwa. Huku mawakili wa Serikali wakiendelea kuchongesha ushahidi to fit the narrative.
Hili ni hatari sana.
 
Naiagalia submission ya Tundu Lissu na majibu ya upande wa Jamhuri, hasa maelezo ya Principal State Attorney Nassoro Katuga, kuna jambo moja linajitokeza wazi: Katuga katika baadhi ya hoja amekuja karibu sana na msingi ambao Lissu ameuweka, lakini badala ya kujkubali moja kwa moja udhaifu unaotokana na charge sheet, amejaribu kuuelezea kwa tafsiri ya kisheria.

Kwanza, hoja ya msingi kuhusu overt act ni muhimu. Katika misingi ya sheria ya uhaini iliyojadiliwa katika kesi hii, upande wa Jamhuri haukukanusha kwamba kuna mambo matatu yanayopaswa kuzigatiwa: allegiance kwa Jamhuri ya Muungano, nia ya kutenda kosa la uhaini, na nia hiyo kuonyeshwa kupitia publication au overt act. Mahakama enyewe ilirekodi kwamba vipengele hivyo ndivyo vilivyokuwa vinajadiliwa na kwamba upande wa mashtaka haukupinga msingi huo kwa ujumla.

Ndipo hoja ya Lissu inapopata uzito: ikiwa overt act ni sehemu ya lazima ya kuonyesha kwamba nia ya kutenda uhaini ilidhihirishwa, swali linakuwa ni kitendo gani mahsusi kilichofanywa na mshtakiwa ambacho kinatimiza hicho kipengele?

Lissu amekuwa akisema kwamba maneno pekee, bila kitendo cha wazi kinachodhihirisha utekelezaji wa nia ya uhaini, haawezi yenyewe kuwa overt act katika mazingira ya shtaka hili. Hii ndiyo maana amerejea maamuzi ya Grey Likungu Mattaka na Hatibu Gandhi. Kwa mujibu wa hoja yake, maneno yanapaswa kuonyesha au kuhusishwa na kitendo cha uhaini; si kila kauli kali au nia inayotamkwa kwa maneno inaweza moja kwa moja kuwa overt act.

Hapa ndipo hoja ya charge sheet inapokuwa muhimu zaidi.

Lussu ameeonyesha kwamba baahi ya maneno muhimu yaliyokuwa katika maelezo ya awali yameondolewa katika charge sheet. Ripoti ya tarehe 28 September 2026 inaeleza kwamba Lissu alihoji kuondolewa kwa maneno aliyodai kuwa ni muhimu katika kuelewa muktadha wa kauli zake.

Kwa mtazamo huu, badala ya Jamhuri kukubali kwamba kuondoa maneno hayo kumebadilisha au kupunguza maudhui ya kitendo kinachodaiwa, Katuga ameeleza kwamba Jamhuri ilifanya marekebisho hayo ili chaji sheet iwe wazi na iweze kuendana na ushahidi, akirejea Section 135 ya Criminal Procedure Act.

Hata hivyo, hapa ndipo hoja nyingine yenye uzito inapoibuka.

Hoja ya “public” dhidi ya “any person” au “group of persons”

Katuga amekiri wazi kwamba Section 39(2)(d) inatumia maneno “any person”, wakati charge sheet imetumia maneno “to instigate the public.” Hoja ya Jamhuri ni kwamba matumizi ya neno public yalilenga kufanya charge sheet iwe wazi na kuendana na ushahidi, na kwamba kwa tasiri ya Penal Code, public inaweza kujumuisha mtu mmoja, kundi la watu au watu wanaotumia eneo fulani.

Lakini hapa ndipo hoja ya Lissu inaweza kuuliza swali la msingi zaidi:

Ni nani hasa aliyedaiwa kuchochewa?

Ikiwa sheria inatumia “any person” au inatambua “a group of persons”, basi charge sheet inapaswa kumweka mshtakiwa katika nafasi ya kujua kwa usahihi ni mtu gani au kundi gani linalodaiwa kuwa lililengwa na uchochezi huo.

Kwa sababu katika kesi ya jinai, si suala la kusema tu kwamba public kwa maana pana inaweza kumaanisha watu wengi. Swali la kisheria ni kama maelezo ya shtaka yanamtambulisha mshtakiwa kwa kiwango kinachotosha kujua kitendo mahsusi anachotakiwa kujibu na namna kinavyounda kosa aliloshtakiwa nalo.

Hapo ndipo hoja ya “public” inaweza kuwa na tatizo ikiwa inatumika kama dhana pana sana badala ya kutaja watu au kundi linalodaiwa kulengwa.

Kwa lugha rahisi: huwezi kuishia kusema “aliichochea public” bila kueleza, kwa mazingira ya shtaka husika, ni watu gani au kundi gani lililochochewa na ni kitendo gani mahsusi walichochochewa kufanya.

Hii ni muhimu kwa sababu sheria ya jinai inahitaji kosa na particulars zake zitambulike kwa usahihi kiasi kwamba mshtakiwa aweze kujua anachotakiwa kujibu.

Je, Katuga amejenga au amedhoofisha hoja ya Jamhuri?

Hapa ndipo submission ya Katuga inakuwa ya kuvutia.

Kwa upande mmoja, anajaribu kuokoa charge sheet kwa kusema kwamba public inaweza kuchumuisha any person au a group of people. Kwa upande mwingine, maelezo hayo yanaibua swali ambalo Jamhuri yenyewe inabidi ilijibu:

Ni mtu gani? Ni kundi gani? Na ni kitendo gani walichochochewa kufanya ambacho kinatimiza kosa linalodaiwa?

Kwama jibu ni kwamba public ni pana kiasi kwamba inaweza kumaanisha mtu yeyote, kudi lolote au watu wote waliokuwepo au walioweza kusikia kauli, basi hoja ya specificity inakuwa muhimu zaidi. Mahakama haiwezi kuamua kosa la jionai kwa dhana isiyo na mipaka; inapaswa kuangalia kosa mahsusi lililoainishwa katika sheria na particulars mahsusi zilizoletwa dhidi ya mshtakiwa.

Hapo ndipo mjadala unarudi kwenye ushahidi

Basda ya hoja hizi za kisheria, kinachobaki ni swali la ushahidi: je, Jamhuri imeonyesha kwa ushahidi wa kutosha kwamba Lissu alikuwa na nia inayotakiwa kisheria, na kwamba nia hiyo ilidhihirishwa kwa publication au overt act inayokidhi kosa aliloshtakiwa nalo?

Lissu amejenga hoja kwamba ushahidi uliotolewa haujaonyesha overt act hiyo, na kwamba sehemu kubwa ya ushahidi kuhhusu kauli zake ilitegemea ushahidi wa mashahidi ambao hawakuwapo wakati wa tukio kwenyewe. Katika submissions zake, alisisitiza pia kwamba PW17 ndiye shahidi pekee kati ya mashahidi 17 aliyekuwepo kwenye mkutano husika, huku wengine wakitoa ushahidi kuhusu walichosikia au walichoona baadaye.

Lakini hapa pia kuna tahadhari muhimu: Mahakama tayari iliamua tarehe 21 Agosti 2026 kwamba Jamhuri imeanzisha “case to answer.” Mahakama ilisisitiza kwamba katika hatua hiyo haikuwa inatathmini kwa kina uzito au uaminifu wa ushahidi wa mashahidi, bali kama ushahidi uliowasilishwa uliunganisha mshtakiwa na kosa lililo katika charge sheet.

Kwa hiyo, kusema kwamba “kesi ya uhaini imekufa kabisa” kungekuwa ni hitimisho la mapema. Hoja yenye nguvu zaidi ni hii:

Submission ya Jamhuri imeonyesha kwamba kuna maeneo ambayo pande zote mbili zinakubaliana kuhusu msingi wa kisheria wa kosa ikiwemo umuhimu wa intent na manifestation kupitia publication au overt act. Mzozo mkubwa sasa ni kama maneno yaliyodaiwa, charge sheet ilivyoandikwa, na ushahidi uliotolewa vinaweza kisheria kutimiza vipengele hivyo.

Na hapo ndipo hoja ya Lissu kuhusu kuondolewa kwa maneno, matumizi ya “public,” kutokutajwa kwa walengwa mahsusi, na kutokuwepo kwa overt act iliyoainishwa inapokuwa muhimu sana.

Kwa kumalizia, naweza niksena haya;:

“Katika kujaribu kuitetea charge sheet, Katuga amefungua milango ya maswali yale yale ambayo Lissu amekuwa akiyaleta, ni kitendo gani mahsusi kilichounda overt act, ni nani hasa aliyedaiwa kuchochewa, na kama matumizi ya neno ‘public’ yanaweza kuchukua nafasi ya particulars mahsusi zinazohitajika katika shtaka la jinai. Kwa hiyo, badala ya kuondoa hoja ya Lissu, submission ya Jamhuri imeifanya hoja hiyo ionekane kwa uwazi zaidi.”

Kwa aina ye kesi, na namna ushahidi wake unavyopaswa kuwa, hapa ni kama ameiua kesi.
Hilo halikuwa jambo pekee, ila ni ambalo nimechagua kuliongelea. Huenda nikaja na lingine.
Lisu angeweza kusema nilichochea vichaa, watoto chini ya miaka 5 and the like. Kitola kwenye public 😃😄😁😂😅😆. Sasa vichaa wanaweza kuchocheka kupindua nchi? Lazima useme ni what kind of people from the public were incited kupindua nchi....unasemaje Mwalimu wa thread hii?
 
Back
Top Bottom