Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3.
Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji.
Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini ya 30, hayo NI matakwa Yao hakuna wa kumlaumu ila wasitupigie kelele kuwa wachezaji hawapumziki! Ina maana hujui nini maana ya KUSAJILI wachezaji 30.
Kwani mechi moja unawatumia wachezaji wote 30?
Nini maana ya Kikosi Kipana?
Basi hao Viongozi wenye majukumu ya KUSAJILI Kama ni wataalamu wa KUSAJILI basi NI jukumu lao KUSAJILI Kikosi Kipana kiuHALISIA sio Kikosi Kipana kimbugilambugila.
Kama wamesajili wachezaji 30, alafu unalalamika iwapo wachezaji Labda 4 hawatacheza mechi inayofuata Kwa sababu yoyote ile iwe ni Kwa kuugua au Kwa adhabu, na bado Una wachezaji 26, Kati Yao wapo ambao ktk mechi iliyopita hawakucheza kabisa, Kwa nini usiwatumie?
Na kama hawafai NI Kwa nini uliwasajili? Na kama hawafai wakumlaumu NI Nani? Hao wasiocheza mliletewa na Shirikisho?
Shirikisho ratiba Yao inaendana na wachezaji 30 iliyowataka msajili, Kama umesajili magalasa usitupigie kelele!!