Tryagain
Member
- Nov 23, 2021
- 73
- 458
Tar 2 May Mh Lissu akihutubia Mkoani Iringa alitoa shutuma za Rushwa kwa Mafumbo, lakini alikua akimlenga Mh. Joseph Mbilinyi, lengo lake kwenda Iringa ni Kumshika Mkono Rafiki yake Peter Msigwa. Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa mwenye upande, ameamua kwa uwazi kumuunga Mkono Mh. Msigwa. Uhalali wa Kauli yake kuhusu Rushwa unaweza kuwa na Maswali mengi kutokana na Conflict of Interest aliyonayo katika Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa.
UHALISIA WA MAMBO KWENYE GROUND
1. Ushindani ni Mkali kati ya Msigwa na Sugu, uwepo wa fedha katika Uchaguzi ni taarifa za Kweli.
2. Msigwa amekuwa akitumia fedha nyingi zaidi tena kwa uwazi, Rushwa ambayo haisemwi, Amewezesha Wagombea Mikoani kwa fedha Nyingi, Mfadhili wake Mkuu ni Asas MNEC wa CCM Mkoa wa Iringa. Kwa taarifa zake mwenyewe Msigwa amedai Pia Mfanyabiashara Maarufu Mkoani Shinyanga Mmiliki wa Viwanda vya Jambo amekua akifurahishwa na Siasa zake hivyo amekua akimpa fedha kuendesha Siasa zake. Kupewa fedha na hawa wafanyabiashara inaweza kuwa sio Mjadala, Mjadala ni pale hizo fedha kutumika kununua watu ili wachague watu wake. Je, hii sio Rushwa? Mh. Tundu anatakiwa kukwepa kuwa na upande.
3. SIRI AMBAYO LISSU ANAFICHWA NA WATU WAKE, MSIGWA, HECHE, LEMA NA WENJE Wanatumia Jina lake kujipatia fedha na hawamwambii ukweli, Evidently Wanachukua Fedha kwa ASAS NA JAMBO Just few to Mention kwa Malengo ya Kuwezesha Ziara zake lakini yeye binafsi haambiwi Viwango vya hizo fedha. Mgao wake huwa wanamkadilia mahitaji yake, uzuri Lissu hana Mahitaji Mengi, Akila na kunywa Serengeti Lager 4 analala. Pamoja na Mafuta ya Gari Lake basi. Lissu ni Biashara ya watu, na inawalipa sana. Ndio mana akitua tuu Tanzania wanaambatana nae, wanampa Mialiko ili watengeneze Pesa na wanafanikiwa sana.
4. Ziara yake Mkoani Iringa, Mafuta amejaza Msigwa, amelipa Hotel Msigwa msafara wote wa Mh Lissu, pamoja na kuwarudisha Dar, Mafuta yamejazwa Iringa Service Station Maeneo ya Ipogolo, Je unajua Mmiliki wa Hicho Kituo?
5. Lissu anaamini yeye akisema jambo lazima umma utaamini, akituhumu mtu ndani ya chama kila mtu ataamini kutokana na mapito yake, Ndani ya Chadema wanamjua, ila wasio marafiki ndio kikwazo.
6. Hizi zama za Technology, Je zile safari za Wanachama Kutoka Mbeya na Tshirt za friends of Msigwa ni za kawaida Chadema? Kwamba tumeuza Kuku au? Misafara ya Mbeya Kurudisha Fomu nani anagharimia? Je Tundu hayo yote yamempita? Au Hofu kwamba hela haitatosha ndia dawa kuwachafua wapinzani wako? Hii Mbinu nayo inaweza zaa Matunda.
7. Kikao cha Usiku wa Tar 2 Baada ya Kufika Iringa Mjini Mh Lissu, Heche, Msigwa, Nyalus, na Wakili Chengula pale Deluxe Lodge ndio paliposukwa huu Mpango wa kutaka kuharibu Image ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Katika Mazungumzo yao walifanya TATHMINI ya Wao Kupokea Misaada kutoka Kwa Biteko Naibu Waziri Mkuu, Na Asas ambayo inajulikana, Wakaona Njia Pekee ni Kumtwisha Mzigo wa tuhuma Mwenyekiti wa Chadema. Je fedha za Biteko ni Halali Kupewa Heche na Msigwa? Wakijinasibu kuwa kama ni Network ya fedha za Kushindana na Mbowe wanazo kwa kuwa Serikali inawaogopa hivyo watatoa tuu.
Hebu tutafakari hayo kwa Uchache.