Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 433
- 454
Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake.
Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku tunatumia muda mwingi kuwalaumu wasomi wetu na wale wilioishia njiani wanaonekana wana akili kwa kikegezo cha kuwa na fedha mpaka wasomi wetu wanaishi maisha ya fedhea.Itafika hatua wasomi wetu wataanza kukana elimu zao mbele za watu kama Petro alivyomkana Yesu.
1.DEMAND AND SUPPLY hapa tuweke siasa pembeni na twende kwenye ualisia mfano mtu amesoma miaka 17 alafu anakuja mtu anasema huyu mtu hana ujuzi,hapo lazima ujiulize maswali mengine kama
A.Hawa walioandaa mataara huu na kuufundisha tena kwa viboko na gharama kubwa zaidi ya miaka 17 leo hao hao wanasema huyu mtu hana ujuzi wana maana gani??
B.Hivi wale waliobahatika kupata ajira huo ujuzi wanaoutumia mpaka leo waliutoa wapi kama waliajiriwa kutoka miongoni mwa hawa ambao hawana ujuzi au walipelekwa VETA.???
C.Ujuzi mpaka uwe fundi kutoka VETA?? JE,wataalum zaidi mtujuze uchumi,uhasibu,famasia,ualimu na n.k hakuna ujuzi??
D.Hivi muamuko ukiwa mkubwa kila kijana akaenda VETA ndo itakuwaje??
UKWELI ni kwamba ujuzi na ajira ni hitaji kama mahitaji mengine duniani.Ili ajira ziwepo lazima kutengenezwe hitajika la ujuzi husika(DEMAND AND SUPPLY) na Kwa hili serikali haiwezi kukwepa sisemi kwamba serikali lazima iajiri hapana ila kuwepo kwake lazima kufanyike kitu kuliko kulaumu wasomi na wasomi kulaumu serikali.Ndo maana nchi zingine kuna ujuzi furani huwezi kuta mgeni anafanya hii yote ni kutengeneza demand.
SULUHISHO: hapa sio swala la ukosefu wa ujuzi wala sera ya elimu au kwenda VETA hapa ni swala la kupunguza uholela katika matumizi ya ujuzi lazima serikali isimamie matumizi ya juzi katika maeneo mbali mbali nitatolea mfano Eneo la utalii na hoteli ni eneo lenye ajira za kutosha lakini huko ndo kunaonekana pasipofaa kwa serikali na jamii.Uwanzishwaji wa hotel lazima kuambatane na uwepo wa mtaalamu wa hotel wa ngazi fulani kama wanavyofanya kilimo na afya kwasababu wanahudumia watu wale wale hii sio kwaajili ya usalama tu pia ni kuongeza wigo wa ajira.Hivyo ivyo kwenye maeneo mengine kama ujenzi na viwandani sio mtu anapata pesa anajenga hoteli hakuna mtaalamu,Meneja ni shemeji,wafanyakizi anaambiwa wanapatikana Singida wanakuja badala ya kufanya kazi wanafanyishwa mambo mengine hii yote ni ukosefu wa ujuzi na wasimamizi wenye ujuzi na usimamizi mdogo waserikali.Huu ni mfano tu na eneo mengine wafanye hivyo hivyo.
2.Tafsiri sahihi ya nganzi za taaluma(astashahada,stashahada,shahada,shahada ya umaili,shahada za uzamivu) nina wasi wasi na serikali wataalamu wetu wanvyozitafasiri hizi ngazi,Au ni ubinafsi unawafanya wawe vipofu?? Mfano Utaona tangazo la ajira wanataka mtu mwenye Masters hapo hapo wanasema lazima awe na relevant degree na wanakosa watu wanatangaza tena zaidi ya mara moja sasa kama Serikali inahitaji relevant Masters wanaruhusu irrelevant Masters ili ziende wapi??Nimefatilia kwenye mashirika ya kimataifa kama UNESCO,INHABITANT hawana haya mambo.Basi serikali kama haitaki hizo irrelevant iwaruhusu private institution kama vyuo watumie.
Itimisho;- Naomba tusipende kufanya imradi leo hupo na ukijua ni unapplicable .Lazima viongozi wetu wakae waumize vichwa kweli kweli kwa kesho ya vizazi vyetu tusiwe wabinafsi.