hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unapinga nini Sasa? Kwa hiyo demand ni ndogo au?Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umemeView attachment 2764272
Tupe mchanganuo wa matumizi ya Umeme kwa mwaka 2020,2021,2022 na 2023 ili tujue nani mkweli.Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
View attachment 2764272
Wewe ndo useme unapinga nini, MD mpya kasema hakuna maji ya kutosha kwenye mabwawa.Wewe unapinga nini Sasa? Kwa hiyo demand ni ndogo au?