Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Great Thinkers
Tuanze kustuka mapema. Huyu muuaji amejitutumua kuhutubia kutoka mafichoni akiendeleza upuuzi wa kutetea mauaji makubwa ya Oktoba 29 2025.
Amekuja na mchanyato kwamba anaandaa tume ya maridhiano. Wakati huo huo alishateua tume haramu kuchunguza matukio ya Mo29+. Bahati njema wakati anaiapisha aliwapa maelekezo kuwa waje na majibu kuwa hela zilitoka nje kuhonga waandamanaji, pia waandamanaji walitoka nchi jirani na utetezi mwingi.
Kuna ushahidi kuwa Chande na tume yake wamekuwa wakiwasilisha ushahidi wao polisi na mashuhuda wanaendelea kukamatwa kimya kimya. Shuhuda mmoja kutoka Dar na mwingine wa Bariadi wamechukuliwa na polisi kwa mtindo wa kutekwa. Lengo ni kupoteza mashahidi watakaoenda ICC upande wa mashahidi wa mashtaka.
Tusitolewe relini
SAMIA NI MUUAJI
SAMIA NI MHAINI