kweli kabisa,,ukiwa na watoto kumi,,,una unga kilo moja,,unachofanya ni kupika uji,,ambao utawatosha wote,lakini ukipika ugali,,,na ukikatakata,,utawatosha watatu!watoto saba watakosa,,,,sasa serikali na bodi ya mikopo,,,ipo pale ili kuakikisha kila mtu au mwanafunzi anatimiza ndoto yake,,sasa ya nin kuwanyima wengine?viongozi wote nchi hii wamesoma bule wakati wa baba wa Taifa,,leo kwa kuwa wao na watoto wao wanasoma bila shida,,,wanatuletea ubaguzi,,,wengine wanakosa mikopo,,,wanaona kawaida tu,,,awasemi kitu,,,This is Tanzania.hatali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!