Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipatia bahati ya kupata Mkopo toka HESLB.Ila naungana na ndugu zangu walokosa.Wagegawa 50% kwa wote wenye sifa za kupata mikopo.Isipokuwa Madaktari wangepata 70% ili tugawane wote na zingne tuchagie wenyewe.MTAZAMO TU.
Wale ambao ni continuing walio omba kwa mara ya kwanza watajuaje wamepata mkopo? Niko njia panda nisaidieni wajameni
Hilo swali liliulizwa leo
pale bodi na wakasema kuwa majina ya wanafunzi walioomba mkopo ambao
wapo mwaka wa pili majina yao yatatoka so soon
Majina huwa wanayatuma vyuoni,baada ya chuo husika kufunguliwa.Wale ambao ni continuing walio omba kwa mara ya kwanza watajuaje wamepata mkopo? Niko njia panda nisaidieni wajameni
are u serious? maana kwa kweli watakua wamitukatili vibaya coz hawasemi chochote kuhusu mwaka wa pili so cjui hatma yangu up to nw