Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi
Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe
Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote?
Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga kwenye mshono na hana shida ya aina yoyote bali anataka jamii iliyo bora.
Je, Dudu baya anakosa gani kama hana mashtaka na washutumiwa?