Walengwa wakina bichwa komwe na wenzake walivyo wassenge wanaishia kutujazia nyuzi hapa JF zisizo na kichwa wala miguu.Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi
Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe
Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote?
Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga kwenye mshono na hana shida ya aina yoyote bali anataka jamii iliyo bora.
Je, Dudu baya anakosa gani kama hana mashtaka na washutumiwa?
kwahiyo hapo bongo pia mashoga wanahaki .Waziri wa wizara husikaView attachment 3678517
Wakati hiyo barua inatoka, waziri alikuwa Kabudi na walikuwa wanamkataa Makonda.kwahiyo hapo bongo pia mashoga wanahaki .
Au sijaelewa vizuri ?
Hiyo serikali takataka.
Mmefikia pabaya sana mkuu kama nchi kwa ujumla.Wakati hiyo barua inatoka, waziri alikuwa Kabudi na walikuwa wanamkataa Makonda.
Leo hii Makonda anamkataa Dudubaya.
Toka 2018?Waziri wa wizara husikaView attachment 3678517
Aende wapi wakati anafahamu ni kosa kisheria kufanya ngono mwanaume na mwanaume. Aende kama anataka kwendaKila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi
Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe
Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote?
Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga kwenye mshono na hana shida ya aina yoyote bali anataka jamii iliyo bora.
Je, Dudu baya anakosa gani kama hana mashtaka na washutumiwa?
Namaanisha baba Kegan na kampeni yake hivi sasaToka 2018?