Hoja za kibunge hujibiwa kibunge, tumwachie Spika Ndugai amalizane na Bunge la EU na sisi wengine tuchape kazi

Hoja za kibunge hujibiwa kibunge, tumwachie Spika Ndugai amalizane na Bunge la EU na sisi wengine tuchape kazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote.

Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje.

Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe Daudi Mchambuzi na Tindo tuendelee kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Kazi na Iendelee.

Maendeleo hayana vyama
 
Hivi Chichiem Walivyo Mboga kuna wa Kujibu hoja za Wadhungu wale. Hata Hivyo ni Swala la Kuwarudishia tu Pesa yao Maana Corona Ilipita tu Kama Upepo na Kuishia zake huko Kenya na Uganda mataifa yasiyomwamini Sir. God na Ukuu.
 
Kuna Bunge la kujibu hoja hizo hapo? nani anaweza kujibu kwamba zile hela 74b zilitumikaje? Acheni utani kwenye haya mambo mshayakoroga tayari. Mzungu kwenye hela zake huwa hacheki na kima. Sisi tunaendelea kuuguza majeraha - pambaneni na hali zenu.
 
Huyu mwenye mwili Kama druma anaweza kujibu hoja za EU???, Kama alishindwa na MASELLE itakuwa hao??? Wakati mwingine muda unaoutumia kuandika mada za hovyoo utumie kumfundisha mtoto wako, a e i o u
 
Wewe unadhani choko choko zinaanzia wapi?!
Unataka kusema Chadema wana influence bunge la EU? Kama watakuwa hivyo mbona ni bahati ya mtende kuwa benet na UE..... Ukiwe benet na EU unakuwa benet na US,na UK.... except madikiteita kama china na urusi
 
Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote.

Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje.

Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe Daudi Mchambuzi na Tindo tuendelee kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Kazi na Iendelee.

Maendeleo hayana vyama!
Naona mna mmekosa utulivu kama korodani za mbuzi dume, Jana Sirro alikuwa anawahutubia mabeberu kupitia press conference pale ofisi ndogo ya polisi, yaani Kila mtu atakuwa msemaji, Mzee wa kuokotwa jalalani sukari imempanda, kigugumizi tani mia.
 
Unataka kusema Chadema wana influence bunge la EU? Kama watakuwa hivyo mbona ni bahati ya mtende kuwa benet na UE..... Ukiwe benet na EU unakuwa benet na US,na UK.... except madikiteita kama china na urusi
Unadhani kwanini Lema na familia yake wanakwenda Ulaya kuungana na akina Ngurumo na TAL!
 
Umemtaka Spika wa JMTZ ajibizane na Bunge la EU, EU siyo nchi hivyo ni sawa wengine kama Balozi wetu kujibu na kuelezea, haya ni mambo ya Kidiplomasia zaidi, ...
Hata Job yupo kidiplomasia zaidi!
 
Back
Top Bottom