johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema inahusikaje na EU parliament?Ni kawaida ya Chadema kwenda na matukio
Ubunge wenyewe aliupata kwa hisani ya mtu wa Chato.Chadema inahusikaje na EU parliament? By the way, huyu aliyeumuka kama maandazi yaliyozidiwa na hamira anauwezo wa kujibizana na EU?
Wewe unadhani choko choko zinaanzia wapi?!chdema inahusikaje na EU parliament?
By the way, huyu aliyeumuka kama maandazi yaliyozidiwa na hamira anauwezo wa kujibizana na EU?
kuhusu Bunda?Maendeleo hayana vyama!
Unataka kusema Chadema wana influence bunge la EU? Kama watakuwa hivyo mbona ni bahati ya mtende kuwa benet na UE..... Ukiwe benet na EU unakuwa benet na US,na UK.... except madikiteita kama china na urusiWewe unadhani choko choko zinaanzia wapi?!
Nani kasema EU ni nchi?Labda usichokielewa ni kwamba hakuna nchi inayoitwa EU Dunia hii, sasa unataka Spika wa Bunge la JMTZ ajibizane na nchi hewa?
eti huyo ajibizane na EU! maajabuUbunge wenyewe aliupata kwa hisani ya mtu wa Chato.
Naona mna mmekosa utulivu kama korodani za mbuzi dume, Jana Sirro alikuwa anawahutubia mabeberu kupitia press conference pale ofisi ndogo ya polisi, yaani Kila mtu atakuwa msemaji, Mzee wa kuokotwa jalalani sukari imempanda, kigugumizi tani mia.Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote.
Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje.
Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe Daudi Mchambuzi na Tindo tuendelee kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Kazi na Iendelee.
Maendeleo hayana vyama!
Nani kasema EU ni nchi?
Unadhani kwanini Lema na familia yake wanakwenda Ulaya kuungana na akina Ngurumo na TAL!Unataka kusema Chadema wana influence bunge la EU? Kama watakuwa hivyo mbona ni bahati ya mtende kuwa benet na UE..... Ukiwe benet na EU unakuwa benet na US,na UK.... except madikiteita kama china na urusi
Hata Job yupo kidiplomasia zaidi!Umemtaka Spika wa JMTZ ajibizane na Bunge la EU, EU siyo nchi hivyo ni sawa wengine kama Balozi wetu kujibu na kuelezea, haya ni mambo ya Kidiplomasia zaidi, ...
Angalau Lumumba wewe unajielewa maana hawa wengine akina johnthebaptist akili zao ni zeroLabda usichokielewa ni kwamba hakuna nchi inayoitwa EU Dunia hii, sasa unataka Spika wa Bunge la JMTZ ajibizane na nchi hewa?