Kwahiyo wanakwenda kama wageni wa EU? This is quite new news!Unadhani kwanini Lema na familia yake wanakwenda Ulaya kuungana na akina Ngurumo na TAL!
Wewe unadhani choko choko zinaanzia wapi?!
Kama wakimbizi!Kwahiyo wanakwenda kama wageni wa EU? This is quite new news!
Washalikoroga, hawana budi kulinywa, wakilimeza au wakilitema ni shauri yao.Kuna Bunge la kujibu hoja hizo hapo? nani anaweza kujibu kwamba zile hela 74b zilitumikaje? Acheni utani kwenye haya mambo mshayakoroga tayari. Mzungu kwenye hela zake huwa hacheki na kima. Sisi tunaendelea kuuguza majeraha - pambaneni na hali zenu.
Sure ni wakimbizi kwa vile maisha yao yako hatarini, wanawindwa na Jiwe kuuawaKama wakimbizi!
Ufipa ni wakala wa beberu!Chanzo hakiwezi kuwa ni Chadema sababu hayo Mabilioni hayakutafunwa na Chadema ,au una kipele kinawasha kiasi umeshindwa kuwa na utulivu.
Awindwe Lema?Sure ni wakimbizi kwa vile maisha yao yako hatarini, wanawindwa na Jiwe kuuawa
Kwamba zinaanzia chadema? hiyo ni hoja weak kuliko ulizowahi kuandika humu.Wewe unadhani choko choko zinaanzia wapi?!
Sidhan kama amesema ni nchi. Ni umoja wa Ulaya na wanabunge lao.Labda usichokielewa ni kwamba hakuna nchi inayoitwa EU Dunia hii, sasa unataka Spika wa Bunge la JMTZ ajibizane na nchi hewa?
No offence. Wako hapo Kenya. Si Ulaya. Check your facts againUnadhani kwanini Lema na familia yake wanakwenda Ulaya kuungana na akina Ngurumo na TAL!
" wanakwenda"No offence. Wako hapo Kenya. Si Ulaya. Check your facts again
Ufipa ni wakala wa beberu!
Huyu naye atakuwemo kwenye kamati ya kujibu?Labda usichokielewa ni kwamba hakuna nchi inayoitwa EU Dunia hii, sasa unataka Spika wa Bunge la JMTZ ajibizane na nchi hewa?
Ufananishe uhusiano wa bunge letu na lao kama uhusiano uliopo kati ya ombaomba na mpita njia...."Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje".....
Nadhani mlijisahau wenyewe, hela za 'wadhungu' zina macho, sio za kujichotea na kujilia kama zile za hazina ya nyumbani kwa mfuga tausi wa Chamwino.Wewe unadhani choko choko zinaanzia wapi?!
Tatizo kuu la nchi na taifa letu ni ELIMU, ELIMU, ELIMULabda usichokielewa ni kwamba hakuna nchi inayoitwa EU Dunia hii, sasa unataka Spika wa Bunge la JMTZ ajibizane na nchi hewa?
Tatizo kuu la nchi na taifa letu ni ELIMU, ELIMU, ELIMULabda usichokielewa ni kwamba hakuna nchi inayoitwa EU Dunia hii, sasa unataka Spika wa Bunge la JMTZ ajibizane na nchi hewa?