tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
ndoa mtoa mada umeandika upuuziupuuzi mwingi sana na hii inaashiria jinsi unavyojaribu kutimiza malengo ya waovu waliokutuma kutetea katiba ya chenge na CCM yenu. kwa hiyo kulikuwa na haja gani ya kutumia mamilioni ya pesa za wananchi kukusanya maoni ambayo hayawezi kuzingatiwa na bunge la CCM? rudi ukaawambie hao waliokutuma kwamba mpango wao umedunda.