REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Kwa katiba yetu rais ni kama Mungu.yani tunapigwa matukio tunajifanya hayatuhusu wazee hapana this is too much watu wanapaswa mda huu kuwa gerezani uko na hayo magari tumeyauza kwa mnada
Inauna sana na jamaa wanajilinda kweli hawaogopi kuuwa mtu kulinda maslahi yaoWengi watabisha kwasababu wanaishi mjini. Ukizungumza na walio wengi wanafikiri kuwa Tanzania ni Dar tu
Wanauwa kwelikweliInauna sana na jamaa wanajilinda kweli hawaogopi kuuwa mtu kulinda maslahi yao
Kweli Bwana hili jambo lipo, bifsi mwanzo nilifikili ni mgamboSasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa mafunzo ya kijeshi nje ya mfumo rasmi unaotambulika lengo lao ni hasa na tumesikia hapa kuwa kuna kontena la vifaa vya kijeshi lilizuiwa bandarini ikiwa ni vifaa ambavyo jeshi hawajagiza
Mkisema hoja hii ni porojo kwa sababu hatujaona ushahidi wa picha au video lakini je hoja ngapi huyu dada kazitoa na zimekosa wakujibu tunaenda wiki ya tatu hii ananika ufisadi wa mkuu wa usalama wa taifa, mtoto wa Rais na washirika wake nani katoka kusema ni uongo si msemaji wa serikali wala nani yani tunapigwa matukio tunajifanya hayatuhusu wazee hapana this is too much watu wanapaswa muda huu kuwa gerezani uko na hayo magari tumeyauza kwa mnada
Madogo vyuoni boom wananyimwa
Vijana wanahitumu vyuo ajira hakuna
Wanajenga mashule na mahospital kwa mikopo uko wanashindwa leta vifaa tiba na watumishi majengo yamejaa kila kona watendaji hawapo majengo ya pesa za mikopo arafu tunajisifu
Bila aibu wanakuja kwenye kampeni eti mkitichagua tutawapa ajira 7000 ndani ya siku mia hija anatoa mtu aliye madarakani aisee hawa janaa wanatuonaje sisi unajua inauma washatuona washamba hatujitambui wanataka tupeleka wanavyotaka.
Umeona sasa hapo ndio tujiulize je hawa vijana wahawezi kutumika kufanya uharifu maana wanapewa mafunzo ya kijeshi mpaka kutumia siraha za motoKweli Bwana hili jambo lipo, bifsi mwanzo nilifikili ni mgambo
ImekuwaNchi imewekwa mifukoni mwa watu.
Tunaitaji askari wenye mioyo ya kizalendo watusaidie cause siyo lazima CDF cause uyu CDF naye kawekwa kapuni tamaa zimemtawala kasahau kiapo chake tunaitaji umo umo. Kwenye jeshi watoke wazalendo tutawaunga mkono nchi siyo ya yao peke yao yetu soteMkuu unataka taifa lifanye nini? 😅
Hatuna Jeshi, usalama, viongozi wazalendo na upinzani umepigwa pin.
Assume kwa evidence anazoweka Mangereza bunge lingekuwa la akina TL, Mnyika,Lema, ZZK, Halima na wengine kama zamani zile, Bungeni kungewaka moto. Shinikizo la bunge lingeipush TAKUKURU na michakato mingine ingefuata.
Tunaichekea CCM kuua upinzani bungeni, bado hatujasema wala kuona chochote.
Sasa wanaifungia jamii forum wanataka tuanze kusemea vijiweni watukamate watuueNchi imewekwa mifukoni mwa watu.
Yana mwisho.Sasa wanaifungia jamii forum wanataka tuanze kusemea vijiweni watukamate watuue