Hoja za Mbunge Mpina hazijajibiwa hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa

Hoja za Mbunge Mpina hazijajibiwa hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa

Shakari

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
211
Reaction score
629
Hoja zilizoibuliwa na Mbunge Luhaga Mpina zimekosa majibu hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa, je watanzania wafanye nini ili kupata majibu ya hoja hizo.

nazikumbuka hoja chache za Mpina ambazo hazijapata majibu hadi sasa.

1. Hoja Kwanini Wizara ya Kilimo ilitengeneza uhaba wa sukari wa kutengeneza ili kuzipa vibali kampuni za kuuza simu kuagiza sukari kinyume cha Sheria (Hoja hii haijajibiwa hadi Bunge limevunjwa na Baraza la Mawaziri limevunjwa)

2. Hoja ya Kwanini Serikali imeingia mkataba wa bandari bila mkataba huo kupitiwa na Bunge ili kujua vigezo na masharti yaliyopo kwenye mkataba kama unanufaisha nchi au watu wachache( Hoja hii hadi Bunge limevunjwa hakuna majibu)


3. Hoja ya Kwanini Serikali haijaweka wazi Viongozi na Watendaji wa Serikali walioajirwa na kupewa teuzi ngazi za maamuzi (Hoja hii haijajibiwa hadi leo)


4. Hoja ya Kwanini Serikali iruhusu sera ya mnunuzi mmoja wa Pamba katika Mkoa wa Simiyu na kusababisha wakulima kusafiri umbali mrefu kutafuta wanunuzi wenye fedha (Hoja hii haijajibiwa hadi Bunge limevunjwa)

5. Hoja ya kutaka Serikali iweke jedwali la mikopo iliyochukuliwa na matumizi yake kwa kipindi cha miaka 5 (Hoja hii haijajibiwa hadi Bunge limevunjwa)

Hizi ni baadhi ninazozikumbuka
 
Sasa nimeelewa drama ya Sukari. Ukipitia page ya mwana dada Mange unaelewa kabisa biashara ya Sukari Inafanywa na kiongozi mkuu wa nchi. Hii ni ajabu sana. Sikuwai kufikiria kama nitaishi kuyaona maajabu haya.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom