fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Kwamaana hiyo hizo kinga hamna kitu itakuwa ni sumu. Nizile kampen za Bw Bill Gates za kupunguza watu hasa Africa ili wazungu waje kuishi kwenye bara lenye hewa nzur na mali kibao. Yy anazan ataishi milele.Malaria inaua watu wengi saana kusini mwa jagwa la sahara na kuna dawa zipo ambazo zikipuliziwa malaria itakuwa historia Africa lkn WHO wanakatalia hiyo dawa isitumike hasa kwa sisi nchi maskini ukitumia unanyimwa msaada.
sasa hoja ya JPM ipo hapo why wanakatalia kutokomeza maralia kama wanatupenda kweli.