Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

" tungejibu ishu ya Zanzibar angetupa taabu sana".
Lazima atawapa taabu sana maana hoja zake mmemtengenezea wenyewe. Wasiojulikana walisha fahamu uzito/ugumu wa hoja zake ndio maana hawakutaka aendelee kuishi, lakini mungu akawaambia tulieni muda wake bado na kuna watanzania ambao wanamuhitaji.
 
Huyo aliyekodi helikopta kumpeleka kibaha haujamwona?
Kukodi helicopter kuna thaman sawa na kumiliki land cruiser 2020 model 60.?zikiwa hazipiti risasi?wala mabomu ya al shabab?
 
Mkuu, subiri kwenye sanduku ndo utajuwa ulikuwa ni mwiba au kijiti cha nyasi. Na kwa kupitia ndo utaona kama CHADEMA ulikuwa na mgombea wenye faida au kakiingiza chama mkenge? Stay tuned uchaguzi uishe na Magu aapishwe ndo utaikumbuka comment hii.
Kabisaa, Tena bila tume huru
 
CCM nadhani wakati wa utawala wao, walisahau kwamba kuna wakati utakuja itabidi kuwapigia magoti hao tunaonyima watoto wao ajira, hao tunao waibia ela zao kwenda kujenga chato, hao tunao wauzia vitambulisho vya ujasiliamali, hao tunao wanyima wazazi wao nyongeza ya mishahara. hao tunao waibia ela zao za korosho, Hakika wana madudu mengi ,
 
Viva Magu
Viva CCM

Heil JPM
 
Kwel polepole umesikika huku mkiongozana na wasanii zaidi ya 200
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
 
Lissu akitega tu John anaingia mazima.

Mpaka aibu yaani imekuwa kama Lissu ndiyo incumbent president na john ndiyo anafight kuingia ikulu. Ila jamani lets be honest john ndiyo kibuyu kuliko wote katika presidents tuliowahi kuwa nao. Halafu cha ajabu yeye ndiyo mwenye vyeti kuliko wote. Alivitoa wapi vyeti kwa uweo ule wa kufikiri?
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Shida zao ni ongezeko la mishahara, ajira, mfumuko wa bei miaka 5 imekatika unaongeza mbuga? Viwanja vya ndege shit are you serouos?
 
Ccm mnajiamini kwasababu mnauhakika tume itawabeba. Kama uchaguzi ungekuwa wa haki yaani mnatoka madarakani asubuhi tu
Mkuu, subiri kwenye sanduku ndo utajuwa ulikuwa ni mwiba au kijiti cha nyasi. Na kwa kupitia ndo utaona kama CHADEMA ulikuwa na mgombea wenye faida au kakiingiza chama mkenge? Stay tuned uchaguzi uishe na Magu aapishwe ndo utaikumbuka comment hii.
 
Hilo ni eneo moja lakini siyo nchi yote. Hiyo picha moja ndiyo inayowapa kiburi? Wekeni uchaguzi wa haki tuone
Negativity itawaua , hlo ni eneo moja picha mbili tofaut, tatizo liko wap kuziunganisha ...
 
Hii picha inatrend lakini ni fully photo shop yaan aliyekata Kata na kuunga Hana weledi na kucheza na picha.

Upo sahihi Mkuu wana jitahidi kubadili mwonekano wa Kondoo lakini ime shindikana.
 
Lisu kawachanganya. Tangia lini CCM ikajenga kiwanja cha chato? Watuonyeshe hati ya malipo kwa makandarasi tuone kama wamelipwa na CCM kama siyo serikali. Wamevurugwa!
Achana na vituko, weka Ilani hapa tujadiki hizo Sera zulizomo kama zitaleta mabadiliko iwapo zinatekelezeka. Kwa mfano utoaji wa bima ya afya kwa kila mwananchi wakati huduma ya afya ni duni (miundo mbinu, vifaa tiba, madawa na wa wahudumu)?
 
Shida zao ni ongezeko la mishahara, ajira, mfumuko wa bei miaka 5 imekatika unaongeza mbuga? Viwanja vya ndege shit are you serouos?
Kwa hyo unataka uongezewe mshahara, ? Unataka serikali kila anayehitimu imuajiri? Mfumuko wa bei unaweza kuudhibitije effectively ?? Taja nchi iliyodhibiti mfumuko wa bei bas, tumia akili kufikr , ukiona mshahara mdogo Acha kazi Fanya issue nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…