Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

Mkutano wa Tundu Lissu akiwa Bagamoyo umenikatisha tamaa kwa hoja zake zisizo na majibu bali zinahitaji utekelezaji wa Serikali.

Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi wamekufa kwa presha baada ya nyumba zao kubomolewa na viongozi wa CCM kupitia mamlaka kuu,Anasisitiza hawakulipwa pesa kosa barabara.

Pili, Tundu Lissu anasisitiza walimu na mapolisi kwa miaka mitano hawajaongezewa kitu chochote ,na wakati wa Mei Mosi hujibiwa kwa kiburi tunajenga barabara.

Tatu, Tundu Lissu amewauliza wananchi hali ya maisha yao na wafanyabiashara wanaonaje,Wananchi wamejibu hali ni ngumu sana

Nne, Anatuhumu kuwa pesa na michango ya Corona imeliwa yote waliyochangisha wana CCM na Mamlaka Kuu. Anasema madaktari na manesi waliahidiwa wakati wa corona kulipwa lakini mpaka sasa hawajalipwa hata senti tano.

Hii ya Bagamoyo leo Tundu Lissu lengo lake ni kumjibu Mama Samia Suluhu kwa hotuba zake Lindi.

Kwa hoja na kauli ngumu kama hizi za Tundu Lissu nani atazijibu?

Mzee Yusuf Makamba amejitokeza leo kujibu lakini utamuonea huruma hana la kujibu wala namna bali kutifurahisha vijana.

Mzee Makamba anasema CCM ndio imejenga uwanja wa Rais Chato na sio Rais kajenga, amesisitiza kuwa Chato ni Tanzania

Mzee Makamba anasema mbuga ya Chato ni ongezeko la vivutio kwani lile pori lilikuwa tupu wanakaa majambazi.

CCM kama chama changu tuache kumjibu huyu mtu majukwaani tuongelee yetu.

Mbona suala la hotuba yake Zanzibar tumekaa kimya na yeye mwenyewe kapotezea, tungejibu ishu ya Zanzibar angetupa taabu sana.
Kwa akili yako ndogo unaona hizo nazo ni hoja?
 
..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?

..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.

..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.

cc Kilatha

saaa ingine mnakua kama mapimbi sasa: sasa ulitaka asafirie nn? IST ama?
 
Mkutano wa Tundu Lissu akiwa Bagamoyo umenikatisha tamaa kwa hoja zake zisizo na majibu bali zinahitaji utekelezaji wa Serikali.

Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi wamekufa kwa presha baada ya nyumba zao kubomolewa na viongozi wa CCM kupitia mamlaka kuu,Anasisitiza hawakulipwa pesa kosa barabara.

Pili, Tundu Lissu anasisitiza walimu na mapolisi kwa miaka mitano hawajaongezewa kitu chochote ,na wakati wa Mei Mosi hujibiwa kwa kiburi tunajenga barabara.

Tatu, Tundu Lissu amewauliza wananchi hali ya maisha yao na wafanyabiashara wanaonaje,Wananchi wamejibu hali ni ngumu sana

Nne, Anatuhumu kuwa pesa na michango ya Corona imeliwa yote waliyochangisha wana CCM na Mamlaka Kuu. Anasema madaktari na manesi waliahidiwa wakati wa corona kulipwa lakini mpaka sasa hawajalipwa hata senti tano.

Hii ya Bagamoyo leo Tundu Lissu lengo lake ni kumjibu Mama Samia Suluhu kwa hotuba zake Lindi.

Kwa hoja na kauli ngumu kama hizi za Tundu Lissu nani atazijibu?

Mzee Yusuf Makamba amejitokeza leo kujibu lakini utamuonea huruma hana la kujibu wala namna bali kutifurahisha vijana.

Mzee Makamba anasema CCM ndio imejenga uwanja wa Rais Chato na sio Rais kajenga, amesisitiza kuwa Chato ni Tanzania

Mzee Makamba anasema mbuga ya Chato ni ongezeko la vivutio kwani lile pori lilikuwa tupu wanakaa majambazi.

CCM kama chama changu tuache kumjibu huyu mtu majukwaani tuongelee yetu.

Mbona suala la hotuba yake Zanzibar tumekaa kimya na yeye mwenyewe kapotezea, tungejibu ishu ya Zanzibar angetupa taabu sana.
Mbona hajasema yy atafanyaje
 
Halafu wakati wa kampeni kwenye Uchaguzi Mkuu, suala siyo kujibu hoja za ASIYEJUA, hoja ni kueleza SERA zako. Muda wa kujibu hoja au maswali ya asiyejua utakuja kule BUNGENI siyo kwenye majukwaa ya kampeni. Nakubaliana na ushauri kuwa CCM isihangaike na kujibu maswali ya asiyejua, CCM twende kwa wananchi na HOJA SIYO MAJIBU KWA ASIYEJUA.
 
Naona una hasira balaa. Kanye kwanza mzee
Upuuzi gani huo waandika! Ndizo akili za viongozi unaowawakilisha humu JF. Hata kama sikujui, umejidharaulisha na iwapo una familia naionea huruma kuwa na mwana familia kama wewe.
 
Mkutano wa Tundu Lissu akiwa Bagamoyo umenikatisha tamaa kwa hoja zake zisizo na majibu bali zinahitaji utekelezaji wa Serikali.

Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi wamekufa kwa presha baada ya nyumba zao kubomolewa na viongozi wa CCM kupitia mamlaka kuu,Anasisitiza hawakulipwa pesa kosa barabara.

Pili, Tundu Lissu anasisitiza walimu na mapolisi kwa miaka mitano hawajaongezewa kitu chochote ,na wakati wa Mei Mosi hujibiwa kwa kiburi tunajenga barabara.

Tatu, Tundu Lissu amewauliza wananchi hali ya maisha yao na wafanyabiashara wanaonaje,Wananchi wamejibu hali ni ngumu sana

Nne, Anatuhumu kuwa pesa na michango ya Corona imeliwa yote waliyochangisha wana CCM na Mamlaka Kuu. Anasema madaktari na manesi waliahidiwa wakati wa corona kulipwa lakini mpaka sasa hawajalipwa hata senti tano.

Hii ya Bagamoyo leo Tundu Lissu lengo lake ni kumjibu Mama Samia Suluhu kwa hotuba zake Lindi.

Kwa hoja na kauli ngumu kama hizi za Tundu Lissu nani atazijibu?

Mzee Yusuf Makamba amejitokeza leo kujibu lakini utamuonea huruma hana la kujibu wala namna bali kutifurahisha vijana.

Mzee Makamba anasema CCM ndio imejenga uwanja wa Rais Chato na sio Rais kajenga, amesisitiza kuwa Chato ni Tanzania

Mzee Makamba anasema mbuga ya Chato ni ongezeko la vivutio kwani lile pori lilikuwa tupu wanakaa majambazi.

CCM kama chama changu tuache kumjibu huyu mtu majukwaani tuongelee yetu.

Mbona suala la hotuba yake Zanzibar tumekaa kimya na yeye mwenyewe kapotezea, tungejibu ishu ya Zanzibar angetupa taabu sana.
Lisu kawachanganya. Tangia lini CCM ikajenga kiwanja cha chato? Watuonyeshe hati ya malipo kwa makandarasi tuone kama wamelipwa na CCM kama siyo serikali. Wamevurugwa!
 
Mkuu, subiri kwenye sanduku ndo utajuwa ulikuwa ni mwiba au kijiti cha nyasi. Na kwa kupitia ndo utaona kama CHADEMA ulikuwa na mgombea wenye faida au kakiingiza chama mkenge? Stay tuned uchaguzi uishe na Magu aapishwe ndo utaikumbuka comment hii.
Kama ni kwa kuiba na kuvuruga kura, ni sawa kabisa kwa kuwa wanaohesabu na kutangaza matokeo ni CCM. Vinginevyo sahau.
 
Zahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
Hayo niyamebaki majengo tu. Hayana wafanyakazi (madaktari, manesi. n.k.) wala dawa. Kwa heri.
 
Upuuzi gani huo waandika! Ndizo akili za viongozi unaowawakilisha humu JF. Hata kama sikujui, umejidharaulisha na iwapo una familia naionea huruma kuwa na mwana familia kama wewe.
We mzee vipi kanye huko
 
Hayo niyamebaki majengo tu. Hayana wafanyakazi (madaktari, manesi. n.k.) wala dawa. Kwa heri.
Tunafanya kimoja kimoja , mwaka kesho majengo yanajaa wafanyakaz na madawa , mwaka huu wameajiriwa madaktar 1000 mwaka kesho 3000
 
sasa mbona unatufokea
Hui ndio ujinga wenyewe, (kama ni kweli zahanati zimejengwa kwa idadi hiyo), kwa sababu zingeweza kujengwa nusu ya idadi hiyo halafu ukatumia fedha iliyobaki kuweka madawa kwenye zahanati hizo na pia watumishi, viwanda 4000 hewa na zahanati na vituo vya afya visiyo na vifaa tiba wala watumishi ni usanii tosha kama wa bongo fleva
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Uwafikie lakini majibu kwa wenye akili yanatakiwa, kwa nini uwanja wa ndege ujengwe kijijini Chato na pesa yake kutopitishwa na bunge?
 
Kuntu

Huyualiyepewa onyo kali na John baada ya kulalamika kuwa anatukanwa na Musiba amejitokeza leo? Hivi anamdanganya nani huyu mzee kwamba anampenda John?

Daah! Kweli Lisu kiboko.
Mzee Makamba anajipendekeza law John ili 2025 mwanae apate mtelezo.

Kujipendekeza kwa mzee Mwinyi kumemlipa sana familia nzima inagombea ubunge.
 
nashauri mgombea wa CMM aweke mkutano na vyombo vya habari afafanue hoja hizo na waandishi wa habari wa muulize maswali
 
Back
Top Bottom