Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

Kiukweli vitimbakwiri, wanaojiasibisha na Utanganyika na Uzanzibari ni wengi ila tunawamudu na tutawanyorosha!.
P
Kwamba hiyo elimu ya uraia uliipata wewe peke yako kutoka mbinguni na ukaielewa kwelikweli?Unazeeka vibaya aisee!Unaiishi dunia ya medieval ages.Unawachagulia watu kitu wasichokitaka au mfanane mawazo kivipi?Jikite kwenye kueleza faida zake.Labda,labda visokorokwinyo na vizabizabina wako watakuelewa.Kwani wewe unakufaidisha nini huo muungano?Au upate sifa tu kwamba.."tumemuona Pascal Njaa anautetea muungano hasa"...!🤣🤣🤣
 
Hilo darasa likapelekewe Wazanzibari na hao wanaoitwa Watanzania bara. Mpaka bungeni kuna nchi wanaiita Tanzania bara ni nchi gani hiyo? Ilianza lini.
 
Nguruvi3, Chakaza na Mzee Mwanakijiji munaitwa huku... Njooni mtoe ufafanuzi wa bandiko hili.
 
KAKA naona cku hizi umeamua KUJIZIMA data umekua kilaza, nambie jamhuri ya watu wa TANGANYIKA ipo wapi? Acha unafiki na uchawa mbona kule Kuna jamhuri ya watu wa Zanzibar?
 
Pascal kichwa chako kinachakata kama cha mtu mwenye mtindio wa ubongo! Hivi ulikuwa hivi tangu zamani au umeharibika siku za karibuni? Yaan na uzee wote huo na hekima huna? Daah
Hapo ndiyo katumia zaidi ya siku mbili kuchanganua tena kwa kuandika mambo yaliyoleta kizaazaa,achilia mbali tangu zilivyoanza kipindi cha Nyerere.Sasa tukimpa afanye prompt speech sijui itakuwaje?
 
Niishie tu kusema nimesikitika sana kutokana na andiko hili mkuu, haya ilitakiwa ayaongee Makalla unayaongea wewe??? Ndani ya muungano Mtanganyika hana ID ila Mzanzbr anayo!!!! Matatizo ni mengi sana yanayotudhalilisha watanganyika....
 
Mkuu uko sawa!
Elimu ni muhimu ili mradi ijibu maswali na Hoja za raia wa pande zote (Bara na Visiwani) kuhusiana na Muungano wetu.
Elimu izingatie na kuheshimu mawazo ya kila raia bila kujali ni muflis au la.
Maana hao nao ni raia wa Muungano wetu adimu na adhimu.
Mwisho Elimu inayotolewa isiwe ya kuwafanya raia waamini Katiba ni Msahafu wa Mwenyezi Mungu ambao muumini haruhusiwi kuhoji na kwamba haihitaji kurekebishwa au kuandikwa upya kwa maslahi mapana ya raia wa pande zote katika Muungano wetu.
Naunga mkono hoja!
 
Move your Mitch here.
 
Halafu hii page Mayala anatakiwa kuijibu kila kipengele.
U adhimu wa Muungano huu unatusaidia nini waTanganyika iwapo raia wa Zanzibar wanajitambulisha kuwa ni Wazanzibari?
Rais Samia mwenyewe katika mahojiano kakiri utambulisho wake kuwa ni Mzanzibari, kwa nini asiseme ni mTanzania?
Mayala kwa hoja hii utatumia nguvu kubwa sana kuelezea, lakini hautaeleweka, sanasana watu watakuona kuwa ni walewale tuu, chawa.
 
Kiukweli vitimbakwiri, wanaojiasibisha na Utanganyika na Uzanzibari ni wengi ila tunawamudu na tutawanyorosha!.
P
Hicho kizazi Cha kuwapa miungano yenye utata ndio kinaishia hivyo. Nakuhakikishia huu muungano hawezi kufika miaka 20 toka Sasa. Muungano ambao sifa yake kubwa eti ni muungano wa kipekee duniani! Hapo hakuna muungano Bali utapeli wa mchana kweupe.
 
Kuna kipindi chaja! Tutaanzisha vugu vugu la kufuta historia ya ccm na nchi yote tangu uhuru tubakize historia za kina mkwawa na kina kinjekitile tu! Maana hizi za kina nyerere ni uongo na ubatili mtupu! Watoto wetu wanaaminishwa uongo tu! Hko mashulen! Kama wajeruman walifuta ya hitler hata sisi tutaweza tu!
 
Kuna kipindi chaja! Tutaanzisha vugu vugu la kufuta historia ya ccm na nchi yote tangu uhuru tubakize historia za kina mkwawa na kina kinjekitile tu! Maana hizi za kina nyerere ni uongo na ubatili mtupu! Watoto wetu wanaaminishwa uongo tu! Hko mashulen! Kama wajeruman walifuta ya hitler hata sisi tutaweza tu!
 
Mzee P anazeeka vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…