Hapo umenena hata sikupingi ila tambua Kuna watu shirki ndiyo jadi yao, yaani Kila kitu mtu akitaka kufanya lazima atumie shirk yaani iwe kupata mwenza wa kuowa au kuolewa naye lazima shirk ushirkina utumike, yaani Kuna watu wanaenda mbali Hadi familia zao yaani ukoo mzima unamsikiliza yeye tuu hata kama akikohoa wanasema yes, hivi unafikiri akina Mshana Jr wanapata comment nyingi kwenye Newz zao unadhani ni kawaida?
Note; Kuna member humu jf nawafahamu ni wachawi wakutupwa wengine wanamiliki Hadi mapete ya Bahati na mvuto.