Umesahau wengine wanatembea peku ni masharti ya mganga.Wacha wanaofanikisha mambo yao kwa waganga wafanye hivyo
Ukiulizwa Mungu alituleta duniani ili tusurubike utawajibu nini?
Kuna wengine wanatembea kwa miguu kwa sababu hawana nauli wakati wengine wanatembea kwa miguu kupunguza shibe.
Wanaokwenda kwa waganga waachieni Mungu mwenyewe hakuweka usawa duniani.
Hapo umenena hata sikupingi ila tambua Kuna watu shirki ndiyo jadi yao, yaani Kila kitu mtu akitaka kufanya lazima atumie shirk yaani iwe kupata mwenza wa kuowa au kuolewa naye lazima shirk ushirkina utumike, yaani Kuna watu wanaenda mbali Hadi familia zao yaani ukoo mzima unamsikiliza yeye tuu hata kama akikohoa wanasema yes, hivi unafikiri akina Mshana Jr wanapata comment nyingi kwenye Newz zao unadhani ni kawaida?Mganga ni mchawi wa level ya juu. Ukienda kwake anachokifanya ni kukutatulia tatizo lako moja kisha baadae atakurushia tatizo zaidi ya moja ili urudi kwake. Ndiyo maama mtu akishaanza kwenda kwa waganga ni ngumu kuacha.
Ushirikina ni ushetaniHapo umenena hata sikupingi ila tambua Kuna watu shirki ndiyo jadi yao, yaani Kila kitu mtu akitaka kufanya lazima atumie shirk yaani iwe kupata mwenza wa kuowa au kuolewa naye lazima shirk ushirkina utumike, yaani Kuna watu wanaenda mbali Hadi familia zao yaani ukoo mzima unamsikiliza yeye tuu hata kama akikohoa wanasema yes, hivi unafikiri akina Mshana Jr wanapata comment nyingi kwenye Newz zao unadhani ni kawaida?
Note; Kuna member humu jf nawafahamu ni wachawi wakutupwa wengine wanamiliki Hadi mapete ya Bahati na mvuto.
Ila unamanufaa kwa baadhi ya watu, unajua Kuna watu walishawasom Binadamu ni watu waina gani hivyo kupitia ushirikina hawapati tabu kabisa, Kuna watu wamewafunga waume zao/ wake zao ili kunusuru amani ya Moyo, na hayo yote yanawezekana kwa Waganga wa kienyeji, Kuna watu walishajitengeneza ili wapendwe na Kila mtu na hii nikutokana na chuki na hasadi zilizo tamalaki ktk jamii. Yaani mkuu kwa muda ambao nimeishi hapa kwa Dunia nimeona vioja vingi Sana, Kuna baadhi ya koo hawajuagi kutongoza yaani mtu ahangaike na msichana mwaka mzima sijui hiyo hawanaga yaani mtu akishavutiwa na Binti Fulani basi kazi yake yeye nikwenda na Tunguri ktk Nyumba anayoishi Mhusika theni manuizi yanafanyika hapo, basi mlengwa likashampata jamaa hapati tabu nikumtokea mtu unashangaa anakuchekea wakati hata hamjuani kiundani.Ushirikina ni ushetani
Huu ni ukweli mkuu, nilipoanza kazi nilikuta karibu watu wote ofisini wanahusudu huo upuuzi. Wakawa wananifuata Kila mmoja kwa muda wake kunishauri niende kwa waganga vinginevyo kiti kitakuwa cha moto. Nilibaki kuona huruma Sana. Sasa hivi wananiuliza mganga wangu ni yupi nao waende nacheka tu kimoyomoyo.Ukikosa màarifa utakuwa mteja wa waganga na mitume na manabii feki
Ulikomaa na maombi tu..?!Huu ni ukweli mkuu, nilipoanza kazi nilikuta karibu watu wote ofisini wanahusudu huo upuuzi. Wakawa wananifuata Kila mmoja kwa muda wake kunishauri niende kwa waganga vinginevyo kiti kitakuwa cha moto. Nilibaki kuona huruma Sana. Sasa hivi wananiuliza mganga wangu ni yupi nao waende nacheka tu kimoyomoyo.
Uganga mtakatifu[emoji4][emoji4]Kutumia maji ya upako,na kumtegemea anayejiita mtume wa mwenyezi Mungu,nao sio uganga?
Ngapi Huko?Soma tena na tena
Ndio mkuu, lakini mbali na maombi sidhani Kama Kuna binadamu mwenye akili timamu atashindwa kutegemea taaluma yake na ufanisi mpaka awaze mambo ya waganga.Ulikomaa na maombi tu..?!
Nilikuwa nawauliza maswali ambayo walikuwa wanashindwa kujibu mfn, unaenda kwa mganga ili usifanye kazi ila uonekane unafanya kazi?, Unaenda kwa mganga ili ukifanya kazi ionekane Mara mbili?, Unaenda kwa mganga ili uwe boss? Wote wanaishia kunijibu mara sijui Bado mtoto ndo Kwanza Nina miezi kazini ngoja nizoee nitajua yote hayo. Siku zilivyozidi kwenda nazidi kung'aa mpaka nakuwa boss wao. Hapo ndo wakaanza kuniuliza mganga wangu.Ulikomaa na maombi tu..?!
Watu wa pwani duuu!!! ofisini haingii bila kujipaka madawa ya kienyeji halafu yana harufu moja sijui mganga wao ni mmoja?
Watu wa pwani duuu!!! ofisini haingii bila kujipaka madawa ya kienyeji halafu yana harufu moja sijui mganga wao ni kienyejit
Sawa....Nilikuwa nawauliza maswali ambayo walikuwa wanashindwa kujibu mfn, unaenda kwa mganga ili usifanye kazi ila uonekane unafanya kazi?, Unaenda kwa mganga ili ukifanya kazi ionekane Mara mbili?, Unaenda kwa mganga ili uwe boss? Wote wanaishia kunijibu mara sijui Bado mtoto ndo Kwanza Nina miezi kazini ngoja nizoee nitajua yote hayo. Siku zilivyozidi kwenda nazidi kung'aa mpaka nakuwa boss wao. Hapo ndo wakaanza kuniuliza mganga wangu.
Kwani uchawi ni nini ?!!!Mganga ni mchawi wa level ya juu. Ukienda kwake anachokifanya ni kukutatulia tatizo lako moja kisha baadae atakurushia tatizo zaidi ya moja ili urudi kwake. Ndiyo maama mtu akishaanza kwenda kwa waganga ni ngumu kuacha.
Duniani hakuna lolote linalofanikiwa bila ya mkono wa Mwenyezi Mungu.....Mganga hana msaada wowote,bali Mungu pekee