Hoja za waenda kwa waganga na wanaoutumaini uchawi

Binadam hana kosa lolote, hata afanye kitu gani, ila tatizo lipo mahali limejificha.. dini na uchawi ni kitu kimoja, ni sawa na makampun ya simu lazima kuwe na ushindani, but huduma itolewayo ni moja.
Comment hii inatafakarisha kwa mwenye kutafakari.....
 
🤣🤣

Mkuu Matola umenena.....

Ninamuamini Mwenyezi Mungu aliyeumba malaika na Lucifer....

Cha kujiuliza....huyu Lucifer/Ibilisi anayetusumbua mno kwani amepewa/anapewa nguvu na nani zaidi yake Mwenyezi Mungu?!!!🤣

Hivi mganga ana nguvu zaidi ya Lucifer/Ibilisi?!!!

Kwa tunaotafakari na "kujilazimisha" kujifunza tusiyoyapenda/yasiyopendwa na wazazi wetu/tusiyofundishwa na wazazi na walezi wetu tumeng'amua kuwa hii DUNIA imezungukwa na "KUTA"..."Spiritual walls" ...ukitaka kuyahisi yaliyoko ''beyond" hizo kuta basi ni lazima utulize akili sana/ufikiri sana bila ya kuhusisha "mapenzi ya moyo katika yale tuliyofundishwa utotoni,mashuleni,vyuoni na seminarini....

#YetzerHatov🙏
 
Hao wote ni agents wa ibilisi, kwa hiyo wanafanya kilekile anachofanya mkuu wao, kusema uwongo na kupotosha kweli ya Mungu......
 
Duniani hakuna lolote linalofanikiwa bila ya mkono wa Mwenyezi Mungu.....

Kwani huyu Lucifer anayetusumbua anapewa/amepewa nguvu na nani zaidi ya Mwenyezi Mungu?!!!
Mungu ni hakika japo uchelewa mujibu, shetani haraka lakini ni majuto
 
Mh nawaogopaga mi wanaume wenye mipete ya kijan ,cjui nyekundu uwii Mungu tulinde
 
Ndo mbinu zenu wachawi kutufanya tusiende kwa waganga ili mtukalie kichwani najua hapa umemlenga Binamu yako ili asiende kutafuta uvumbuzi wake kwa dawa zile ulizo mlogea!! ntamwambia aende tu
 
Mbona hospital nyingi na vituo vya afya uwa na nembo ya nyoka? Je kwenye makanisa ubani usaidia nini?
 
Mganga ni mchawi wa level ya juu. Ukienda kwake anachokifanya ni kukutatulia tatizo lako moja kisha baadae atakurushia tatizo zaidi ya moja ili urudi kwake. Ndiyo maama mtu akishaanza kwenda kwa waganga ni ngumu kuacha.
Ina maana hospital hivyo hivyo?
 
Sawa....

Kwani kuna uganga wa mtu kuwa ENGINEER bila ya kusomea ?!!!

Uganga hufanya kazi pale penye SABABU NA SIFA STAHIKI....

Peace👍
Kweli mkuu, ila kwangu Sina uhakika Kama naweza hata kujaribu kitu hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…