Sababu zipi hizo tuambiane tujueWaitara amemwaga ugali lakini hiyo Video ipo you tube JF wameizuia kwa sababu za msingi zinazojulikana. Ukiingia you tube imewekwa about 3 hrs hujuma zote za Mwamba ie Mbowe.
At long last its there! Phew.
Sema basi kasema nini wengine tupo kolomije huku
Nimemsikiliza aisee kama ni kweli Mbowe ni zaidi ya mafia!
Huu uzi wanauona kama kituo cha polisiMagwiji wa bavicha humu siwaoni, hata tusi wamekosa?
Propaganda tu nilidhani ana nyaraka kumbe anatutuma kwa Gwajima!!
Mkuu bila nyaraka unaropoka lolote. Ssa ushahidi ni Kamuulize Mashinji na Gwajima? Kwanini wasilete uthibitisho wa nyaraka kuonyesha pesa anazoingiza Mbowe ili aburuzwe TAKUKURU?
Kuna hoja gani pale? Eti alitumia million 300 kumshughulikia Waitara?? Yaani 300 M kupora jimbo moja tu? Kwani Mbowe alishindwa kumfuta tu uanachama!!Huu uzi wanauona kama kituo cha polisi
Mie nipo mkuu Nipe hta hoja moja tu hapo!!
Kumfuta tu, kufuta ni processKuna hoja gani pale? Eti alitumia million 300 kumshughulikia Waitara?? Yaani 300 M kupora jimbo moja tu? Kwani Mbowe alishindwa kumfuta tu uanachama!!
CAG,CAG hii hoja imekuzidi akili sio size yako kabisaMie nipo mkuu Nipe hta hoja moja tu hapo!!
Hta video hujaangalia unakurupuka tu ushabiki.
JF ya zamani watu wali rely facts sahvi rumour tu inahalalishwa.
Hvi Mbowe ajichotee 50 m kila mwezi ila CAG haoni? Kwanini asije hapa na nakala ya huo mkataba wa kulipwa 50m? Yye si waziri anaupata kwa barua ya polisi tu ama Financial intelligence unit!!
Duh kazi sana
Tuna upinzani wa hovyo sana hapaWabunge wa upinzani wa tweet ka hakuna hayo malipo!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani Waitara ni tishio kuliko Lissu ama Mdee? Hvi waitara hta kidemokrasia tu angeweza kumzidi Mbowe kura au hta Mnyika tu?
Sema kipi uongo na kipi ni kweli kwa aliyo yasema naona unarusha rusha matitiHuyu hana uhakika na ubunge wala uwaziri analeta ngonjera zake asisahaulike
Hoja gani haina nyaraka!!
Kuna sehemu kasema hivyo we pro mbowe hebu jibu kipi uongo kipi kweliYaani Waitara ni tishio kuliko Lissu ama Mdee? Hvi waitara hta kidemokrasia tu angeweza kumzidi Mbowe kura au hta Mnyika tu?
Embu tuweni serious