Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Nilicheka Sana kumsikia Waitara Mwanza wanamuambia hajui masuala yao. Muacheni atsngetange hata huko CCM hapati nafasi kugombea kwenye Jimbo atarudi kupika chai
 
Nakubaliana na wewe huenda zikawa porojo za kisiasa kama hizo za viongozi wa upinzani, wanachama na wafuasi wao, wanazozipaza kwa viongozi wa CCM na Serikali yake.

Kwa kuwa tunaelekea Uchaguzi Mkuu, tuhuma hizi zikipuuzwa, zitatumiwa na wapinzani wa CHADEMA. Athari zake ni kwa wagombea wa CHADEMA kutumia muda mwingi wa kampeni kumsafisha Mbowe, na chama chake kwa ujumla, badala ya kunadi sera za chama.

Isitoshe msimamo na mtazamo wa viongozi wa CHADEMA kuhusu masuala mazito ya kitaifa km ujenzi wa miundo mbinu, moja ya nguzo za kukuza uchumi na uboreshaji wa huduma za jamii, kukejeli kuwa ni maendeleo ya vitu, pia ni chsngamoto kwa wagombea kutetea hoja ya chama kuwa maendeleo ya watu ni demokrasia.

Kwamba, viongozi wa CHADEMA, kwa vitendo walijifungia kama njia sahihi ya kudhibiti maambukizi ya COVID-19, pia itawapa shida kujitetea. Km iwapo Jeshi la Polisi, ambalo naafisa wake hukabiliana na jamii kila mara, lingamua nao wajifungie siku 14, usalama wa raia na mali zao ungekuwaje?

Kwa hiyo, Mkuu zitto junior, usichukulie shutuma hizo kama unafiki wa wanasiasa wa TZ. Hakika viongozi wa CHADEMA wanakabiliwa na mengi ya kujibu ikiwa ni pamoja na fedha za ruzuku kutokujenga hata ofisi moja ya chama, kama ukumbusho. Kumbuka awamu hii ya utawala wa nchi hii, chama kilipata wabunge wengi na kuongoza halmashauri za miji mikubwa nchini, hivyo kuwa na uwezo mkubwa kifedha na donge nono la ruzuku. Kama viongozi wake wameshindwa kufanya hivyo, kamwe chama kitakuwa na ofisi hata ya chumba kimoja.

Tunahitaji vyama vya siasa vyenye viongozi wenye kubeba dhamana ya wanachama kwa maendeleo yao na ya mama Tanzania.
Kitu kimoja mnakosea huwezi sema serikali inatoa porojo kma wanasiasa wa upinzani ilihali vyombo vyote vya haki na usalama vipo chini yake. Kwahiyo tuna expect serikali iwe na nyaraka ila mpinzani akiwa hana nyaraka kma kina Kafulila kwenye issue ya Tegeta Escrow basi serikali huchunguza but sio serikali nayo eti ipoge porojo wakati wana uwezo wa kudai transaction zote za account ya mbowe kwa miaka 20 iliyopita!! HII SIO HOJA

2. Wanaposema maendeleo ya vitu na watu. Ina maana miundombinu inaweza isichangie moja kwa moja kubadilisha maisha ya mtu bali ina facilitate tu maisha yake yabadilike. Ila maendeleo ya watu let's say vijana laki 9 ambao kila mwaka wanaingia kwenye soko la ajira wakivutwa kwenye kilimo cha kisasa kwa kupewa mikopo na training, alafu wakatoboa hapo ni direct impact, kumbuka 70% ya labor force kwa namna moja inategemea kilimo hivyo ukigusa hapo umegusa watu ila hta ukiweka SGR itamsaidiaje kijana asiye ma ajira?

3. Demokrasia in correlation na maendeleo sababu inahakikisha kuna UWAJIBIKAJI wa serikali. Vyombo vya wananchi kma Bunge,madiwani na pia kumchagua Rais kwa kura inaleta uwajibikaji sababu serikali inajua wananchi watawabana wakikosea, Hvi ingekua chama kimoja unadhani serikali ingehangaika na kero za watu? Kingine demokrasia inaleta inclusivity hivyo maoni ya watu yanakusanywa ili kuleta mawazo bora ya kuendesha nchi mbele, hivyo Yes demokrasia ina uhusiano na maendeleo. Hta tafiti nlizosoma za OECD zinaonyesha wawekezaji wanaenda kwenye Nchi zenye demokrasia kuliko zisizo za demokrasia sababu ya kuepuka uncertainties.
 
Mkuu mifano yako haina logic kabisa, ssa polisi kazi yake ni kulinda usalama kwahyo obvious kukiwa na janga lazma wawe nje sio ndani. Na sio tu wabunge wa CHADEMA nazifahamu taasisi nyingi tu za kibenki na mawasiliano ambazo ni muhimu sana ila wafanyakazi wake mwezi wa pili sasa wanafanyia kazi nyumbani.

Na CHADEMA hawakukimbia bali walionyesha demonstration kuwa hawakubaliani najinsi bunge linavyohandle suala la corona. Mfano wabunge hawakupimwa kabisa, ssa inaleta sura gani kwa wananchi kma wawakilishi wao hawapo responsible?

2. Kuhusu tuhuma za Mbowe nmeshasema hapa maadam CAG hajawahi thibitisha basi hana kosa mpaka sasa unless tukubaliane CAG amepotosha serikali kwa mwaka wa 8 sasa!!. Ikumbukwe shutuma hzi zimekuwepo toka 2007 huko za kumchafua na mlishajibiwa na kina Marando ssa mnataka wajibu nni tena??
 
Kitu kimoja mnakosea huwezi sema serikali inatoa porojo kma wanasiasa wa upinzani ilihali vyombo vyote vya haki na usalama vipo chini yake. Kwahiyo tuna expect serikali iwe na nyaraka ila mpinzani akiwa hana nyaraka kma kina Kafulila kwenye issue ya Tegeta Escrow basi serikali huchunguza but sio serikali nayo eti ipoge porojo wakati wana uwezo wa kudai transaction zote za account ya mbowe kwa miaka 20 iliyopita!! HII SIO HOJA

2. Wanaposema maendeleo ya vitu na watu. Ina maana miundombinu inaweza isichangie moja kwa moja kubadilisha maisha ya mtu bali ina facilitate tu maisha yake yabadilike. Ila maendeleo ya watu let's say vijana laki 9 ambao kila mwaka wanaingia kwenye soko la ajira wakivutwa kwenye kilimo cha kisasa kwa kupewa mikopo na training, alafu wakatoboa hapo ni direct impact, kumbuka 70% ya labor force kwa namna moja inategemea kilimo hivyo ukigusa hapo umegusa watu ila hta ukiweka SGR itamsaidiaje kijana asiye ma ajira?

3. Demokrasia in correlation na maendeleo sababu inahakikisha kuna UWAJIBIKAJI wa serikali. Vyombo vya wananchi kma Bunge,madiwani na pia kumchagua Rais kwa kura inaleta uwajibikaji sababu serikali inajua wananchi watawabana wakikosea, Hvi ingekua chama kimoja unadhani serikali ingehangaika na kero za watu? Kingine demokrasia inaleta inclusivity hivyo maoni ya watu yanakusanywa ili kuleta mawazo bora ya kuendesha nchi mbele, hivyo Yes demokrasia ina uhusiano na maendeleo. Hta tafiti nlizosoma za OECD zinaonyesha wawekezaji wanaenda kwenye Nchi zenye demokrasia kuliko zisizo za demokrasia sababu ya kuepuka uncertainties.

1. Vyombo vya Serikali vinafanya kazi yake, kwa mjibu wa sheria, na ndiyo maana manung'uniko na lawama zisizo na msingi kutoja kwa mtu au/na kikundi wasiotii sheria bila shurti.

2. Pamoja na kwamba hakuna nchi yoyote duniani ambako ajira ni bwelele, wajibu wa Serikali ni kuweka mazingira rafiki ya kuwezesha vijana wapate ajira au waajiriwe. Kuna mikakati mingi nchini inayotoa fursa ya vijana kujiajiri, ikiwa ni pamoja na TASAF kwa kaya maskini. Laiti ungetoa kikundi hata kimoja cha "kilimo cha kisasa" na kimekosa "support" ya Serikali, hoja yako ingekuwa na mashiko. Usitoshe vyuo kama vya VETA, vinatoa mafunzo ya stadi za maisha, lakini wangapi wanaofuzu wanaanzisha vikundi zaidi ya kutembea mitaani wakitafuta ajira. Tukubali tu kwamba vijana wengi ni tegemezi, kwa kila hali.

3. Demokrasia kiuhalisia ni utawala wa wengi kwa maana ya kuwa na wawakilishi kwenye vyombo vya maamuzi. Hali hii ndiyo iliyopo Tanzania kwani kuna uwakilishi toka ngazi za chini (micro level) hadi juu (macro level). Lalamiko la upinzani siyo la wananchi ila la viongozi wenye uchu wa madaraka. Km madai ya Tume huru ya Uchaguzi ni "funika kombe mwanaharamu apite" kwani hayawakilishi mahitaji ya wananchi. Kuna ushahidi usio na mashaka kuwa Serikali iliyoko madarakani INAWAJIBIKA na ndiyo maana upinzani unakejeli kuwa kipaumbele chake ni maendeleo ya vitu. Je, ndani ya vyama vya upinzani kuna hiyo demokrasia na maendeleo ya wanachama na wapiga kura km kwenye maeneo waliopewa dhamana?
 
1. Waziri akisema Mbowe ni fisadi ilipaswa aombe nyaraka zote kupitia financial intelligence Unit alafu azianike ama apeleke mahakama ya mafisadi ili Mbowe ahukumiwe kma ana makosa si atahukumiwa arudishe ama afungwe ssa kivp uite waandishi wa habari alafu useme Mbowe mwizi bila ushahidi zaidi ya kusema ''Gwajima anajua'' ni sawa kweli??

2. Mkuu acha kupotosha, mie personally kuna vijana nawafahamu walikuja na innovative products za kilimo ila mwaka wa 3 huu wanaambiwa hakuna standard ya kupima hizo bidhaa zao. Mwingine kadevelop App ya ''hedge funds'' ila kanyimwa patent mpka leo!! Sasa unaposema sina mifano unakosea shida hamtafiti. Ukienda pale TFDA/BRELA ndio utaona vijana wanaokwama kuanzisha miradi yao kisa sababu za kipuuzi.

Kuna zile 10% za halmashauri najua vikundi kibao tu kule temeke vimeenda sana tu na proposal za page 100+ vimepigwa danadana afu ww unasema vijana ni tegemezi? Are u serious??

Mazingira nayosemea mfano, serikali ikiingiza somo la kilimo cha kisasa au IT vyuoni au high school liwe compulsory, unadhani kuna msomi angemaliza degree asijue pa kuanzia??. Hvi ukiweka vigezo kuwa watadhamini walau vikundi 5 kila chuo unadhani kuna kijana atakuwa tegemezi?? Je hayo maendeleo yatakua direct au indirect kma SGR?
 
Hoja zako zina msingi iwapo kweli hao vijana wanazo hizo "write ups" za miradi na hawajapata kufadhiliwa. Je, waliofanikiwa wamewezaje.

Suala la tuhuma za Mbowe tuachie mamlaka husika, kuendelea kulijadili sisi tunaosikia tu, hakumsaidii kumwondolea tuhuma. Nasisitiza, yeye kama mwanasiasa, tena M/Kiti wa Chama kikuu cha upinzani, kamwe hapaswi kukaa kimya kwa tuhuma dhidi yake.
 
.

3. Demokrasia kiuhalisia ni utawala wa wengi kwa maana ya kuwa na wawakilishi kwenye vyombo vya maamuzi. Hali hii ndiyo iliyopo Tanzania kwani kuna uwakilishi toka ngazi za chini (micro level) hadi juu (macro level). Lalamiko la upinzani siyo la wananchi ila la viongozi wenye uchu wa madaraka. Km madai ya Tume huru ya Uchaguzi ni "funika kombe mwanaharamu apite" kwani hayawakilishi mahitaji ya wananchi. Kuna ushahidi usio na mashaka kuwa Serikali iliyoko madarakani INAWAJIBIKA na ndiyo maana upinzani unakejeli kuwa kipaumbele chake ni maendeleo ya vitu. Je, ndani ya vyama vya upinzani kuna hiyo demokrasia na maendeleo ya wanachama na wapiga kura km kwenye maeneo waliopewa dhamana?
Tunaposema demokrasia tunazungumzia misingi 11 yaani kuanzia uwepo wa vyombo vya kuiwajibisha serikali mpka utawala wa kisheria, maoni ya wengi kusikilizwa n.k

Sasa bila bunge lenye vyama tofauti unadhani serikali itawajibika? Bila kuwepo upinzani wa sera mbadala mfano ya ugatuzi ya CHADEMA unadhani kutakua na inclusivity kwenye serikali kufanya maamuzi? Demokrasia ni source ya mawazo mbadala ndio maana hta unaona mabadiliko kwenye sekta ya madini,kodi,bandarini yametokana na hoja za wapinzani ndani na nje ya bunge.

Pia tume huru haipo pale kuwapa upinzani ushindi ila kutimiza takwa la misingi 11 ya demokrasia yaani uwazi,uwajibikaji na majority rule. Sasa kma hili nalo unapinga sio hitaji la wananchi hujui mnyororo wa Kura-mbunge-Bajeti-utekelezaji miradi n.k unavyoweza athiriwa na sanduku la kura.
 
Tutaendeleza mjadala kuhusu Tume ya Uchaguzi kwa ubishi tu usio na msingi. Kwani vigezo vya Tume ya Uchaguzi kuwa huru ni vipi?

ITAPENDEZA iwapo utafungua jukwaa jipya tujadili Tume huru ya Uchaguzi ili tusiharibu majadiliano ya mahudhui ya bandiko kuu ambayo ni kuhusu tuhuma dhidi ya Mbowe yaliyotolewa na Waitara, aliyekuwa mmoja wa viongozi wa CHAMA CHAKE.
 
Hoja zako zina msingi iwapo kweli hao vijana wanazo hizo "write ups" za miradi na hawajapata kufadhiliwa. Je, waliofanikiwa wamewezaje.

Suala la tuhuma za Mbowe tuachie mamlaka husika, kuendelea kulijadili sisi tunaosikia tu, hakumsaidii kumwondolea tuhuma. Nasisitiza, yeye kama mwanasiasa, tena M/Kiti wa Chama kikuu cha upinzani, kamwe hapaswi kukaa kimya kwa tuhuma dhidi yake.
1. Mkuu kufanikiwa watu 100 hakuondoi ukweli kuna vijana milion 1 waliofeli. Vijana wanalia mitaji sio ajira, sasa kma serikali inaweza weka mabilion kwenye mbio za mwenge wanashindwa vipi kuhakikisha walau hta vikundi 100 wanapewa mkopo wakuanzisha miradi ya kiuchumi?. Ssa support hamtoi alafu mnakejeli tu kwamba vijana ni mategemezi!! Hvi mtu kasomea Oil and Gas kamaliza chuo hta sehemu ya intern hamna utasema ni tegemezi? Hvi ukisema wajiunge kikundi waje na mradi wa ku-utilize usambazaji wa gesi ya bomba hadi majumbani watashindwa?? Then ukiwakuta kitaa unawaita WAZEMBE!! are u serious?

2. Mkuu Mbowe ajibu mara ngapi? Hizi tuhuma toka 2009 huko na kipindi waitara alikuwepo naye alikua anamtetea kweli kweli Mbowe eti leo anatoka ndio anajua kuna uwizi? Hvi ni siasa gani hizi? CAG hajawahi sema mwaka wa 8 huu kuna ufisadi ila mwanasiasa bila nyaraka ndio anasema ufisadi upo? Weird afu GT mnakubali.

Embu tujitafakari I think we're better than this
 
Waitara, aliyekuwa mmoja wa viongozi wa CHAMA CHAKE.
Sio tu kiongozi ila kwa miaka zaidi ya 10 alimtetea Mbowe kuwa anazushiwa na CCM hizo tuhuma!! Sasa tuamini maneno yake ya sasa au ya zamani.

Ngoja nipost hpa video aliyoitoa akiwa kanisani kwa Gwajima alafu tupime credibility yake.
 
Mwita na Prof Mkumbo ni waroho wa madaraka. Huko CCM wanalia, kwa kipindi kifupi tu walichokuwepo huko wameshaitwa Katika kamati ya maadili ya CCM, kwa kuanza kampeni mapema sana kabla ya chama kutangaza.

Mmmmm Mroho ni mroho tu.
 
Mimi ndiye niliwatengeneza Msigwa, Sugu, Lema sina cha kujivunia - Chadema
 
Mbowe na matarishi wake ni cowards.
 
Back
Top Bottom